Ndio maisha! Kuna watu wanatafuta hata hiyo yake hawapati! Kwahivyo aangalie unafuu anaupataje tu!Jamaa kashaonekana kapata kibarua usitegemee ataendelea kukaa bure lazma nae atie mkono kwa namna moja au nyingne hapo wanapo ishi.
Ndyo maana sijamshauri aondoke papo hapo lakini atafte sehemu nyingne, uthubutu ndo kila kitu kwanini ajitese kwa 5k kuanzia asubuh mpaka jioni non stop akati kunasehemu anaweza angaikia akapata pesa zaidi ya hyo ko bado wanamnyonya tu.
Hata watu wa jikokoa kinondoni hawawezwi lipwa hvo mkuu.
Nalipwa per day na nvae official yaani ukiniona road huwezi Amini kama nalipwa hiyo pesa asee, maumivu kila mahali5k zidisha 30 days hapo ni 150k huo ni mshahara wa mlinzi anaelinda geti somewhere sio mbaya lakini mradi maisha yanasonga
UhaliUmepigwa ndoige mpaka umekubali kaka yaani umesahau namba tunawekaga PM umempa hapa hapa .
Kikubwa awe salama ila yakitokea mengine sitasita kukutafuta 😀
Kejeli sasaMjibu kuhusu chakula kwanza😂😂
Nalipwa per day na nvae official yaani ukiniona road huwezi Amini kama nalipwa hiyo pesa asee, maumivu kila mahali5k zidisha 30 days hapo ni 150k huo ni mshahara wa mlinzi anaelinda geti somewhere sio mbaya lakini mradi maisha yanasonga
UhaliUmepigwa ndoige mpaka umekubali kaka yaani umesahau namba tunawekaga PM umempa hapa hapa .
Kikubwa awe salama ila yakitokea mengine sitasita kukutafuta 😀
HakikaJamaa kashaonekana kapata kibarua usitegemee ataendelea kukaa bure lazma nae atie mkono kwa namna moja au nyingne hapo wanapo ishi.
Ndyo maana sijamshauri aondoke papo hapo lakini atafte sehemu nyingne, uthubutu ndo kila kitu kwanini ajitese kwa 5k kuanzia asubuh mpaka jioni non stop akati kunasehemu anaweza angaikia akapata pesa zaidi ya hyo ko bado wanamnyonya tu.
Hata watu wa jikokoa kinondoni hawawezwi lipwa hvo mkuu.
Ndio hivyo ni vile tuko anonymous hapa ila watu wanavumilia mengi sana mdogoetu, mada za humu ni kujilisha upepo tu! Kaa kazini utapata michongo!Hapo unafuu ni kwenda kuuchosha mwili aloo
Hebu chukua namba umshauri mwenzio🤣Haya mambo ni magumu sana mamkali🤦🏽♀️View attachment 3588249
Naona ulimkanda kisawasawaDalili ngumu hizi! Kuna mmoja alikuwaga anaanzisha nyuzi za kujiliza kila siku, siku moja nikamchana akaishia kutitusi mie malaya lakini dawa ilimuingia!
Sina salio🤣Hebu chukua namba umshauri mwenzio🤣
Kaza!Dah ukikaa nchake ukisimama nchale
Nilikuwa namtamani siku nyingi sana! Hiyo siku nilikuwa sichekeshi!Naona ulimkanda kisawasawa
Ni wapi ubungo?Datz y nmefunguka sabu hakuna anaenifaham HUMU ila ukinikita kitaa ka si Mimi ville
Una uhakika😂😂😂😂tulikutana na wahuni wakitaka kufanyiwa photoshop kwa 10 kwa siku kwa mwezi 310 enh malipo 100k, enh usafiri wako msosi wako kifupi kufa kivyako. Nikasma narudi geto nikaaka na pc geto ikanipa 10milioni kwa miezi 4 tu nikawa doni na mimi nikaanza mkwara we endelea kula 5k