Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

Point tupu, sema nimemwambia nitampigia simu nkae ntafakari coz skufikiria hivyo vile ambavyo yeye ananilipa, mkuu naomba tuwasiliane 0769442907
Mawazo Yako ni chanya sana🙏🙏✅
Umepigwa ndoige mpaka umekubali kaka yaani umesahau namba tunawekaga PM umempa hapa hapa .

Kikubwa awe salama ila yakitokea mengine sitasita kukutafuta 😀
 
Hakika ntaondoka Kwa heri kabisa.
Nauli 900x2=1800~2000
So pow kbs, bad thing kabadl kula na nauli ni juu yangu malipo 4000 nliomba aongeze iwe 5k alikubali nkijua ntasave 5k per day 120 per month sababu naanza ningejituma haswa ila sasa Kwa style kanikata mood sana sana mkuu💔
 
Mwambie ukweli tu kazi nyingi zina changamoto katika makubaliano! Ukiona anakaza fanya maamuzi unayoona ni sahihi kwako!
 
Mkuu elfu 5 hyo hyo ni nauli ya kwenda na kurudi , hiyo hiyo apate chakula mkuu, halafu kama mwamme kuna vipengele.

Mbali na hapo kuna maswala ya kodi hapo hamna kazi mkuu wanamkandamiza tu, kua chini ya mtu ni hasara na mateso sana
Unaelewa sana kaka. Haiitaji nguvu hii
 
Kukaa bila kazi ndo kunaniwazisha afu Niko Kwa mshikaji kukaa tu bure si kweli
 
Kukaa bila kazi ndo kunaniwazisha afu Niko Kwa mshikaji kukaa tu bure si kweli
Ungesikiliza ushauri wangu ungefanya la maana sana! Huyo anayekushauri ela ndogo acha kazi, muombe mchongo au ukakae kwake bure!
 
Jamaa kashaonekana kapata kibarua usitegemee ataendelea kukaa bure lazma nae atie mkono kwa namna moja au nyingne hapo wanapo ishi.

Ndyo maana sijamshauri aondoke papo hapo lakini atafte sehemu nyingne, uthubutu ndo kila kitu kwanini ajitese kwa 5k kuanzia asubuh mpaka jioni non stop akati kunasehemu anaweza angaikia akapata pesa zaidi ya hyo ko bado wanamnyonya tu.

Hata watu wa jikokoa kinondoni hawawezwi lipwa hvo mkuu.
 
Dogo anataka kuonewa huruma. Mwanaume anayependa kuonewa huruma analeta mashaka kwa jamii. Mwanaume unatiwa moyo tu.
Dalili ngumu hizi! Kuna mmoja alikuwaga anaanzisha nyuzi za kujiliza kila siku, siku moja nikamchana akaishia kutitusi mie malaya lakini dawa ilimuingia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…