Baada ya bomu la Dkt. Bashiru, Rais Samia aanza ziara

Baada ya bomu la Dkt. Bashiru, Rais Samia aanza ziara

Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.

Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.

Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.

Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Hahaha
Yeam Bashiru asante umemalizia vizuri sana
 
Na wewe ni mjumbe wa kamati kuu hata ukatoa taarifa ya kikao?

Hebu jiambie kitu kimoja; je huyo Raisi kweli anakurupuka nusu saa baada ya kikao na kuanza ziara kama wewe unavyoamua kwenda kilabuni?

Hizo chuki zenu tena tooooooo much!
We huwajui vizuri hawa.
 
Siasa za mtu binafsi
Sijakuelewa, siasa za mtu binafsi, How?. nadhani umesoma maandiko yangu on this isse. Niko clear kuwa tunachanganya mambo mawili....
1.Haki ya kusema chochote
2. moral authority/audacity ya kusema chochote

Ukivitenganisha hivi viwili utaona mantiki ya argumets zangu1
 
siyo dharura mkuu, ziara ilikuwepo Kbl ya Bashiru Kutema nyongo, its like coincidence ziara ya Arusha na Manyara zilikuwepo tangu awali ninachojua pamoja namamnbo mengine atakuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa TRAMPA na hivyo it scheduled kwa maana apige ndege wawili kwa jiwe moja!! kufungua mkutuano wa TRAMPA lkn pia kufanya ziara Manyara na Arusha!!
Wewe sio kwa kipindi hiki. Toka lini huyu akakubali kuoga jua kisa kujibu kero za wananchi.?
 
Pole sana. Sure ana madhaifu mengi, she is not performing to perfection.... lakini hajaua , hajateka, haja bambika kesi, haja pora fedha za watu, hajapoteza watu, hajafunga watu midomo kusema kwa kiasi fulani... ....kama unavyojua! Kwa hilo niko upande wake sana.
And….. alikuwa VP wa the killer, sasa utamsafishaje? Biased
 
And….. alikuwa VP wa the killer, sasa utamsafishaje? Biased
True! alipashwa kujiuzuru kupinga matendo ya killer. She was part of the killer squad by aiding the killer! kwenye sheria wanasema an accomplice...Sijamsafisha hata kidogo. Na ndiyo maana analaumiwa and that is correct, bado amezuia mikutano ya kisiasa ambayo iko kikatiba!
 
Extrajudicial killings unazihalalisha? akifanyiwa ndugu yako utasema zipo, zifanyike?
Kama anajipanga kufanya mauaji ya halaiki au ana connection na vikundi vya kigaidi unataka achekewe tu.?
 
Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.

Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.

Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.

Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Acha uzushi,ziara hizi ziko kabla hata Bashiru hajaongea...
 
Ni lini tutamnanga bashiru kama ilivyokuwa kwa ndugai? au tunamsubiri kada wa njombe akisanue.....
 
Samia na Magufuli wote sawa, waliingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na wote hawana sifa za urais
Uko sahihi kabisa.
Ila samia ameingia by default ya katiba, Am I right?
 
Back
Top Bottom