Baada ya bomu la Dkt. Bashiru, Rais Samia aanza ziara

Baada ya bomu la Dkt. Bashiru, Rais Samia aanza ziara

Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.

Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.

Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.

Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Acha wale nchi ni yao tuwaombee wale vizuri
 
una akili ndogo sana.
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kubadilishwa sheria ya kikokotoo na kuvurugwa kwa mifuko ya hifadhi za jamii na yule shetani?
unakumbuka matukio yaliyotokea baada ya kuundwa kwa tume ya OSORO?
Raisi kafanya ziara nyingi tena vijijini siyo yule mpuuzi aliyekuwa anapita barabara kuu na kugawa maburungutu ya noti
ziara ya manyara ilipangwa hata kabla ya huyo bashiru kuongea ujuha wake? kama mzalendo kweli
mbona hajawatetea wakulima wa korosho walipoporwa korosho zao na MAGUFULI?
Mbona hajawambia wanafunzi waliokatazwa kufanya siasa anazofundisha yeye wagomee kauli ile ya kifedhuli
KWSHAKUFA HATARUDI TENA, KAMFUKUENI
Ndioooooo umemaliza kila ki2
 
Pole sana. Sure ana madhaifu mengi, she is not performing to perfection.... lakini hajaua , hajateka, haja bambika kesi, haja pora fedha za watu, hajapoteza watu, hajafunga watu midomo kusema kwa kiasi fulani... ....kama unavyojua! Kwa hilo niko upande wake sana.
Sema tu uko upande wake mazima!

Na 2025 ungana na ccm kumpitisha kwa kishindo
 
True! alipashwa kujiuzuru kupinga matendo ya killer. She was part of the killer squad by aiding the killer! kwenye sheria wanasema an accomplice...Sijamsafisha hata kidogo. Na ndiyo maana analaumiwa and that is correct, bado amezuia mikutano ya kisiasa ambayo iko kikatiba!
Ila uko upande wake
 
Mnatukaniana wazazi matusi makubwa makubwa subhanallah kisa wanasiasa
Acheni kudhalilishana kisa watu wengine ndugu zanguni
 
Mkuu, hii ziara ya manyara ilikuwa imepangwa Kama wiki mbili nyuma, na tangazo lilikuwa limeshatoka katika office ya mkuu wa mkoa wa manyara !

Kauli ya Bashiru imetoka lini ? Unapotosha umma!
 
Huyu mama hafai kuwa Rais. Sijui walimtoa wapi. Ni maajabu anakalia huo wadhifa mkubwa ilhali hana vigezo vyovyote vya uongozi wa juu kabla ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais 2015. Mwanamke kamwe hawezi kuongoza hii nchi. Position ya Mwanamke kwenye jamii ya Tanzania ipo wazi jamani.
 
Baada ya bomu zito kutoka kwa balozi Dkt. Bashiru kikao cha dharura kimeazimia mama aanze ziara za kujibu hoja mbalimbali.

Ameambatana na baadhi ya mawaziri ambao wengine anaamini wataongea kauli za fedheha kwa Dkt. Bashiru lakini baadhi yao wameshtukia mtego kama Bashe.

Lakini ifahamike huu ni wakati wa ukame na jua ni kali mno. Hofu yangu ni kushindana na hoja ya dr Bashiru kwa kumzururisha huyu mama juani.

Maumbile yake na umri wake haviruhusu. Wasije wakamuumiza wakajikuta wamemkosa malkia wa nyuki na hivyo ikawa mwisho wa kulamba asali.
Wewe Ni fala,taarifa ya ziara ya Rais ilitolewa toka alivyorudi Misri na Mkuu wa Mkoa wa Manyara..

Huyo takataka wenu Hakuna mtu ana habari nae .
 
Haters wakikosa hoja huja namna hii......hivi huyo bashiru wenu, nyie msiojitambua, kuna kitu gani kikuuubwa alichokiongea ambacho pengine hakijaongelewa kabla eti hadi raisi aanze ziara?!!!!!!

Kwani ulikuwa unajua ratiba zake?!!
 
Kwani kabla Kakunda hajazungumza Rais hakufanya ziara? Unahitaji kutunza kumbukumbu vizuri
 
Unadhani tumekusahau enzi za magufuli? Ulikuwa mkali hapa JF! It seems you were left behind by Samia!
Kwa magu tulikuwa tunaoga maji bwerere.

Leta maji wacha blah blah
 
Ni Ziara za kawaida na kikazi Kama kawaida ya mh Rais kupita na kukutana na watanzania ili kuwasikiliza na kutatua kero za wananchi na siyo Kama unavyotaka kupotosha hapa kwa chuki zako za kitoto,hakuna wa kuweza kumtikisa Rais Samia,hayupo mwenye ubavu huo na Wala hajazaliwa

Anatatua kero gani wakati umeme na maji yamemshinda. Anakwenda kufuja tu fedha za umma kulazisha political millage.
 
Back
Top Bottom