Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,355
- 23,076
Sijawahi kuwa na mahaba na kiongozi toka chama cha wanafiki mimi. nasimamia ukweli na siabudu watu kama wewe. naabudu taasisi. mama yupo kwa mujibu wa katiba ambayo mlisema ni nzuri sana kwakuwa wananchi wanataka mabarabara.Tutaendelea kupiga tu hadi akili ikae sawa. Moto zaidi unakuja. Kama una mahaba nae sana kanywe nae chai babati.
mnaweweseka nini kama katiba ni nzuri na ndo ilomweka bi mkubwa?