Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Baada ya kuwa na tetesi kuhusu chanzo cha kifo cha Ballali ambapo tangu nijiunge na JF nimekuwa nikisoma kwamba huyu marehemu walim-poison muda mrefu baada ya harakati za kuvuna fedha pale BoT kukamilika. Nimeingiwa na hisia kwamba there must another as target wa kufuta ushahidi kiaina kama alivyofanya Ballali. Kama kawaida humu JF ambapo mambo mengi yamekuwa yakiibuliwa bila shaka kuna mwenye taarifa juu ya mlolongo wa wale wanaotakiwa kufuta ushahidi kwa mtindo wa Ballali. Karibu tusemezane.
Lakini kuna maswali mngi zaidi ya kujiuliza kuhusu kifo chake. Ni kweli kafa? Kwa nini ichukue siku nne ndiyo itangazwe? Kwa nini BoT walijua kifo chake toka mapema na wakashindwa kusema? Kwa nini azikwe Marekani? Mimi ni Tomaso mpaka nitakaoona maiti yake na itakapochunguzwa na kupimwa DNA ndiyo nitaamini. Lakini kwa sasa naamini Ballali hajafa.
I have been asking myself the same questions.Ni nani ambaye hataki kuzikwa kwao? Yeye ugomvi wake ulikuwa na serikali lakini sio nchi yake.Ni kweli basi hapiendi nchi yake? Wanasema alitangaza uamuzi huo mbele ya jamaa zake akiwemo mkewe,Anna Muganda.Obviuosly watasema hivyo,lakini kama angekuwa kaach ujumbe wa maandishi wengi wetu tungeweza kuamini hilo.
Kwenye hilo,na mimi niko kwenye kundi la wale ambao wana question ukweli wa kifo chake
Next is A. Chenge
Sasa hapa ndio ninaposhindwa kuelewa, yaani ukiwa fisadi na kula na wenzio wakati wewe ndio key maker,mwishilio wake ni kuuawa sio? sasa hiyo faida ya ufisadi na kujilimbikizia mali inawasaidia nini??
Haya Fisadi, mwizi Andrew Chenge jiandae, maana sasa ni zamu yako!
Next is A. Chenge
Sasa hapa ndio ninaposhindwa kuelewa, yaani ukiwa fisadi na kula na wenzio wakati wewe ndio key maker,mwishilio wake ni kuuawa sio? sasa hiyo faida ya ufisadi na kujilimbikizia mali inawasaidia nini??
Haya Fisadi, mwizi Andrew Chenge jiandae, maana sasa ni zamu yako!
anaefata baada ya ballal ni Mkapa, lazima afe mapema kabla ya kusimama mahakamani! chenge atakuwa namba 3 alafu Rostam Aziz namba 4, Lowassa hatakufa mapema ila atakalia chungu cha moto, Karamagi anakufa soon ila kwa ukimwi, sababu stress zimekuwa kubwa! Mh. Mkono nae sijui niseme vipi kuhusu huyu jamaa!
HUYU HAKUWA KEY PRAYER WAPO CAPOS YEYE ALIKUWA ANATOA SERVICE UNDER CAPO REGIME,WOTE HAWA NA AKINA RWEKAZA NI MATARISHI TU,MTU KAMA ANDY CHENGE HAWEZI KUFA AU KUUAWA KWANI CONSIGLIERE HUWA YUPO HADI SIKU FAMILY INAANGUKA SO FORGET ABOUT THE DEARTH OF CHENGE,LABDA SHETANI AAMUE KUMCHUKUA LEO, LAKINI FAMILY HAIWEZI,KWANI MAPESA YOTE KAFICHA YEYE, NDIYO MAANA PALE AIR PORT ALIWAPIGA NA SICILIAN LANGUAGE KWAMBA VILE NI VISENT TU,KWANI ANAJUA ZAIDI YA HAYO MACHO YAJAONA, MASIKIO AYAJASIKIA ,WALA MOYO KUONJA KILE AMBACHO CHENGE ANAJUA,NA ALIKUWA ANATOA MESEGI KWA WALIOBAKI,KWAMBA BADO NIKO USEFULL KWENU MSINIACHE CHENGE SI MJINGA IS BRIGHT BOY KUMBUKA NI LAWYER WA HAVARD ANAJUA LUGHA YA PICHA,ALIPO SEMA VILE WATU WA MAGAZETI WAKAMSADIA KUPELEKA UJUMBE. UNAKUMBKA SAADAM ALIKUWA ANAPOTOKA MAHAKAMANI WANDISHI WAKIMSONGELEA ANAWAMBIA MOLARI UNA ZIDI KUPANDA SIJAKATA TAMAA SO AILKUWA AKIONGEA NA JAMAA MTAANI KWAMBA WAKO PAMOJA WAENDELEE NA MABOMU.Next is A. Chenge
Sasa hapa ndio ninaposhindwa kuelewa, yaani ukiwa fisadi na kula na wenzio wakati wewe ndio key maker,mwishilio wake ni kuuawa sio? sasa hiyo faida ya ufisadi na kujilimbikizia mali inawasaidia nini??
Haya Fisadi, mwizi Andrew Chenge jiandae, maana sasa ni zamu yako!
Vifo hivi vya sasa wanauwana wenyewe kwa wenyewe, Serikali ikiona unajua mambo mengi na unaweza kusanua, ni kawaida ndani ya Chama chetu cha Mapinduzi kukuondoa jamani, hivyo ndio maana nikaja ya jibu laivu