Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 500
- 3,057
Sawa
Media ya Kusaga ina zaidi ya miaka 20, Wasafi imeanzishwa juzi tu tayari imeshafungiwa mara mbiliMbona media ya huyo Kusaga ishawahi kufungiwa hivyo hivyo.
Kwa Media changa kufungiwa mara mbili tena ndani ya muda mfupi unadhani it was out of their control. Ni kwa sababu wanafanya Kazi na watu ambao ni unprofessional.Gigy money alipanda jukwaani akiwa kavaa dera, sasa unless uniambie walijua kwamba ndani kavaa kituko then akifika jukwaani atavua dera, lakini kwa situation ilivyokuwa it was out of their control
Bado hujaielewa hoja yangu. Ni hivi gigy money kaingia akiwa kavaa dera, sizani kama walijua kilichopo ndani ya hilo dera, hata kama shoo ingekuwa ni ya media nyingine bado kilichotokea kingetokea, hakuna ambae huwa anakagua mavazi ya wasaniiKwa Media changa kufungiwa mara mbili tena ndani ya muda mfupi unadhani it was out of their control. Ni kwa sababu wanafanya Kazi na watu ambao ni unprofessional.
Mkuu unadhani TCRA hawajui kwamba Gigy alivaa dera kisha akalivua? TCRA wanajua ila wamewaadhibu kwa sababu wanajua Watu ambao ni professional wanajua kabla ya show Kila Msanii atavaa nini pale mbele. Hawaachwi tu kila Msanii atafute vazi lake mwenyewe, matokeo yake ndo hayo.Bado hujaielewa hoja yangu. Ni hivi gigy money kaingia akiwa kavaa dera, sizani kama walijua kilichopo ndani ya hilo dera, hata kama shoo ingekuwa ni ya media nyingine bado kilichotokea kingetokea, hakuna ambae huwa anakagua mavazi ya wasanii
Tumekuelewa konde boy.Ushauri huu unatokana na ukweli kwamba kwa Media kama Wasafi kukumbwa na Misukosuko kama hii ya kufungiwa mara mbili ni mapema mno. Media haina hata miaka 5, Media wala sio Kongwe lakini inakumbwa na adhabu kama hizi mara ya pili.
Kama ni kweli wanavyosema kwamba Mke wa Kusaga ana Hisa pale Wasafi basi nadhani ni wakati wao sasa kuingilia kati. Nadhani Diamond kama CEO wa Wasafi Media ameshindwa upande huo.
Kuna ambao mtasema mbona Media za Kusaga nazo huwa zinafungiwa, ni kweli zinafungiwa. Lakini kumbuka kuwa
Media ya Kusaga zina zaidi ya miaka 20, Wasafi imeanzishwa juzi tu tayari imeshafungiwa mara mbili.
Binafsi namkubali Diamond kwenye upande wa WCB lakini sio kwenye upande kama CEO wa Wasafi Media. Upande huu umeprove failure. Bado anataka kuendesha Kampuni kwa kutafuta KIKI. KIKI zibaki kwa upande wa WCB na sio Wasafi Media. Na ndio maana hata aina ya usajili wa wafanyakazi unaofanyika pale utasikia wengi ni Washkaji zake wa Kitambo ambao performance yao sio kubwa sana. Kuanzia wakina Baba Levo wote walitakiwa wakapigwe Msasa kwanza la sivyo hii itakuwa sio mara yao ya mwisho kufungiwa.
Umejiuliza kwa nini Mara baada ya Gigy Money kushuka Jukwaani Wasafi wenyewe waliomba radhi? Maana yake hata wao wenyewe waliona kuna Kosa limefanyika. Je walishindwa kumwambia Gigy kule Back Stage kuwa Vazi lao halifai kwa Maadili yetu.
Ukweli Watu wanaishabikia Wasafi Media kwa Sababu wanampenda Diamond, Lakini Media yenyewe kama yenyewe bado inashindwa kujitegemea.
Mkuu unadhani TCRA hawajui kwamba Gigy alivaa dera kisha akalivua? TCRA wanajua ila wamewaadhibu kwa sababu wanajua Watu ambao ni professional wanajua kabla ya show Kila Msanii atavaa nini pale mbele. Hawaachwi tu kila Msanii atafute vazi lake mwenyewe, matokeo yake ndo hayo.
We kichwa chako kigumu kuelewa...ni lini uliona kila show hapa bongo inajulikana msanii anavaa nini?
Nyuma ya shule unalinganisha na mbele ya steji???INA MAANA MWANAFUNZI AKIKAMATWA NYUMA YA SHULE BINAFSI ANAVUTA BANGI SHULE ITAFUNGIWA AU????KUNA MAAMUZI YANACHUKULIWA NCHI HII YANATIA KINYAA..
Then Kwanini wasafi hawakukata matangazo hewani?Gigy money alipanda jukwaani akiwa kavaa dera, sasa unless uniambie walijua kwamba ndani kavaa kituko then akifika jukwaani atavua dera, lakini kwa situation ilivyokuwa it was out of their control
Swali zuri MkuuThen Kwanini wasafi hawakukata matangazo hewani?