Hahaha hata yeye mpiganaji wa wanyonge?!Atakula pesa huyo
Iko vizuri kwakweli, Heko BenWazo zuri, maana ya Mkapa inaboresha makazi ya watumishi wa afya nasikia.
Only from the Shit-hole countries2025 ni muda mchache sana kwa mpenda mabadiliko kama Magufuli, ingefaa aongezewe muda kikatiba na iwe kwake tu , wa kwanza na wa mwisho kuongezewa muda
Unafahamu Foundation haiwezi kuchukua majukumu yote hayo wakati serikali ipo. Hayo uliyoyataja ni jukumu la serikali. Miundombinu yote huwa inatakiwa kufanyiwa ukarabati kila mwaka. Na hii hutumia pesa nyingi sana, wataalamu,vifaa na material ghali sana. sidhani foundation kama itakuwa na uwezo hai kuajiri wakandarasi wa wizara zote. Sijui labda inawezekana.Magufuli Foundation ijikite kusupport miundombinu, barabara, reli, ports and vinavyohusiana navyo. Ni dhahir kuwa uwezekano wa miundo mbinu aliyowekeza ikafa kifo cha mende baada ya yeye kuondoka madarakani.
Ili kuepusha kifo cha miundo mbinu kama kilivyotokea baada ya mkoloni kuondoka, nashauri Magufuli Foundation, kama itaanzishwa ijikite kwenye 'preventive maintanance' ya miundo mbinu.
Unafahamu Foundation haiwezi kuchukua majukumu yote hayo wakati serikali ipo. Hayo uliyoyataja ni jukumu la serikali. Miundombinu yote huwa inatakiwa kufanyiwa ukarabati kila mwaka. Na hii hutumia pesa nyingi sana, wataalamu,vifaa na material ghali sana. sidhani foundation kama itakuwa na uwezo hai kuajiri wakandarasi wa wizara zote. Sijui labda inawezekana.
Tunge ipa jukumu moja la kijamii, labda kusaidia kusimamia elimu.
Hiyo Foundation ainzishe tu mapema iwezekanavyo mwaka 2020 maana 2025 wenye nchi yao hawawezi kumruhusu afike mpaka huko!.Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Magufuli foundation itakuwa inatafuta watu waliotekwa na kupoteaTuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Hahaha samahani siio kwamba napinga naangalia ukubwa wa project na gharama zake halafu naangalia uwezo wa foundation wa kifedha wa foundation ziluzopita au zilizopo.Wewe umetaka tutoe mawazo. Tunatoa mawazo unayapinga. Hii inaonyesha una wazo lako unataka litajwe. Are you trying to validate ideas? Kwamba Magufuloi aanzishe Foundation ya kishughulikia mambo ya elimu? Je elimu haitakiwi kusimamiwa na serikali?
Foundations kama ya Kikwete inashughulika na nini ambacho serikali isingeweza kufanya?
Turudi kwenye pendekezo la Preventive Maintenance, uinaelewa vizuri hiyo concept? Nipe mfano miundombinu inayofanyiwa preventive maintenance lkwa mafanikio.
Wamesha mruhusu mbona, husikii ccm wakimsafishia njia hawataki yeyote aonyeshe nia?! Au ulimaanisha wenyenchi kina nani?!Hiyo Foundation ainzishe tu mapema iwezekanavyo mwaka 2020 maana 2025 wenye nchi yao hawawezi kumruhusu afike mpaka huko!.
Wenye Chama chao, maana wao wamekaa kimya wanamwangalia anayoyafanya!.Wamesha mruhusu mbona, husikii ccm wakimsafishia njia hawataki yeyote aonyeshe nia?! Au ulimaanisha wenyenchi kina nani?!
Sina hakika itakuwepo.Hivi Uganda Kuna foundation ya IDD Amin Dada!?
Hahaha wanamuangalia au wanamuogopa?! Kama hawataki waseme wafukuzwe chamani, ndio watampunguzia upinzani mapema.Wenye Chama chao, maana wao wamekaa kimya wanamwangalia anayoyafanya!.
Ukitaka kumchinja kombe sharti ni timing, time will tell!.Hahaha wanamuangalia au wanamuogopa?! Kama hawataki waseme wafukuzwe chamani, ndio watampunguzia upinzani mapema.
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Kuchimba makaburiTuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Kusaidia kuamsha watanzania wasilaleHahaha awamu mbili zote atakua hajawamaliza tu?! Nadhani akiondoka 2025 kutakuwa hakuna fisadi hata mmoja, na kila mtanzania atakuwa analipa kodi.
Magufuli Foundation sijajua itakuwa inahishughulisha na nini hasa.
2025 mbali hivyo !
Dhalimu mleta njaa, The 1960's immigrant from Rwanda, atakuwa amewamaliza Watanzania na kurudi kwao !
Kila style anatumiaga huyu..
#style ya njaa
#unyang'anyi refer Lugumi, bureau, korosho
#Upigaji risasi
#Utekaji
#Kubana ajira
#Kukwamisha biashara
HUJAFA TU HAPO MTANZANIA ?