Baada ya 2025, Magufuli Foundation mngependa ifanye nini...

Wakurugenzi wawe watoto wa azori, Ben saanane,lissu hawa wataitendea haki jamii inayoumizwa na ukatili wa jamii husika
Hahaha hapa sijui, maana kuna wanaohisi Makonda anaweza kuiongoza.
 
hivi hawezi kuwa na Foundation akiwa madarakani?naombeni kujua
Nadhani haiwezekani, itakuwa conflict of interest. Maana serikali iliyopo madarakani inapaswa kuwatumikia wananchi 100% likiwemo hilo Foundation itakalolifanya. Technically haiwezekani.
 
hakuna duniani aliyewahi kuwa Rais kufanya hivyo?
 
ila mke wake anaweza kufanya,mama Kikwete alikua nayo WAMA ...
Nahisi inawezekana lakini ukichunguza operation zake kwa haki haitakiwi lazima kuna fraudulent activities tu. Unajua zile ni non profit, lakini sidhani kama wakwetu wana operate as real non profit. Soyrce za fund zao wananchi hatuzijui, inapaswa iwe wazi kwa public.
Kwanini waweze wakiwa ikulu tu, kwanini hawakuzifanta kabla au baada ya kutoka ikulu.
Ya mama Mkapa sijui Fursa sawa kwa wote, au Haku sawa kwa wote sijuu inaendelea au imekufa.
Angali Clinton Foundation au Bill Gate &Melinda Foundation zinavyo operate na uangalie za hawa wetu.
 
mkuu hata watu wa kawaida wanafungua NGO ila hela tena kama sio zote zinaishia mifukoni,haziwafikii walengwa ...nimekuelewa sana mkuu,uwazi ni kitu tunachomiss,na hakuna uwazi sababu tuna hiden agenda mkuu,mie nikifungua charity yangu nitakua muwazi ONLY if Nanye Go atakuwa Rais na mimi festi ledi :D:D:D:D
 
Iwasaidie wendawazimu na wehu aliowatengeneza wakati wa utawala.
 
mkuu hata watu wa kawaida wanafungua NGO ila hela tena kama sio zote zinaishia mifukoni,haziwafikii walengwa ...nimekuelewa sana mkuu,uwazi ni kitu tunachomiss,na hakuna uwazi sababu tuna hiden agenda mkuu,mie nikifungua charity yangu nitakua muwazi ONLY if Nanye Go atakuwa Rais na mimi festi ledi :D:D:D:D
Hahaha kweli transparent haipo hapa kwetu na tunadhani madaraka ni immunity ya kufanya uovu, na sheria zilipaswa ziwe zile za one fits all. Lakini sheria zetu nazo zina macho, nani achunguzwe nani asichunguzwe. Nani ashitakiwe na nani asishitakiwe. Kuna uvunjifu wa sheria mwingi ndio maana unaona Foundation za kwetu zinakufa lakini za wenzetu zipo.
Lakini hata sisi tutakufa njaa tukifanya charity organisation, inabidi pesa za donor ziwe zinaingia kwa account yetu binafsi! Just kidding lol.
Hapa kwetu donor hawafuatilii malengo ya foundation yametimizwa au la, na wananchi hawahoji.
 
OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL without him no arsenal
 
Hahaha kweli transparent haipo hapa kwetu na tunadhani madaraka ni immunity ya kufanya uovu, na sheria zilipaswa ziwe zile za one fits all. Lakini sheria zetu nazo zina macho, nani achunguzwe nani asichunguzwe. Nani ashitakiwe na nani asishitakiwe. Kuna uvunjifu wa sheria mwingi ndio maana unaona Foundation za kwetu zinakufa lakini za wenzetu zipo.
Lakini hata sisi tutakufa njaa tukifanya charity organisation, inabidi pesa za donor ziwe zinaingia kwa account yetu binafsi! Just kidding lol.
Hapa kwetu donor hawafuatilii malengo ya foundation yametimizwa au la, na wananchi hawahoji.

usijali,hatutahitaji misaada ya dona kantre kama Magufuli,yetu itajiendesha yenyewe :D:D:D:D:D,wenzetu wako honest kwenye mambo kama haya,sisi ndio sehemu ya kupumulia…silaumu lakini, labda kama kusingekuwepo na poverty mambo yangekua sawa na wenzetu….kwenye mizani hatuko sawa…kwa hio hamna lawama...hii ni kwa wale watu binafsi,sasa hata wake wa marais wanapiga??!!! :cool:.
 
Hahaha nianzie mwisho, wake zao hutumia hizo foundation kama duka kariakoo. Na waumezao hupitishia pesa huko na hazikaguliwi na CAG wala auditor firm yoyote, yani nikama vile mume kamfungulia mkewe duka khanga na vitenge, sasa pesa chafu zikipita huko hawaangahiki nazo. Dona kantre nazo zinajua hii michezo, hata Rais Wetu anafahamu ndio maana hakutaka mama jesica afanye, alijua watamsema akaichunia.
Hahaha yetu kujiendesha inataka moyo, sheria za NGO zimekuwa ngumu siku hizi.
Labda za mshirika ya dini, ingawa nako huko nyuma watu binafsi walitumua leseni zao kuingiza misaada na bidhaa za biashara bila kulipa maana walikuwa na special Tax exempt, anyway hapa kwetu kila kitu nimitego tu, foundation mbele huko nyuma madudu tupu.
 
Back
Top Bottom