Baada ya 2025, Magufuli Foundation mngependa ifanye nini...

Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Iwe ina nyonga watu
 
Kwa taarifa za kiintelijensia 2020 magu anaweza kupita uchaguzi lakini kwa nguvu kubwa mno inayoweza kuacha majeraha makubwa yanayotibika au kutotibika.
Uwezo wa kutumia nguvu ya chama ni wa mashaka kwani kutaibuka mvurugano mkubwa kutokana na yeye kutoheshimu wenzake.
Option ya kutumia vyombo vya dola hasa mabaka mabaka ndiyo itakayo mharibia sana. Hivyo kama atatoka 2025 atakuwa hana heshima katika jamii kama watangulizi wake, na suala la foundation sahau bali uwezekano wa kuishia kuwa na maskando ya rushwa, ufisadi hata kuhusishwa na matukio yaliyofanyika dhidi ya uhai wa binadamu na jela kumhusu sana.
Wataalamu wa ushauri wangechukua muda kumshauri kwa kutumia hotuba ile ya Kikwete kuhusu KUJIMWAMBAFAI kumfundisha what's coming later!
 
ijikite kwenye utafiti wa sampuli za mifupa ya binadamu pengine inaweza kusaidia kupatikana kwa mifupa ya ben na azory.
 
Kwa taarifa za kiintelijensia 2020 magu anaweza kupita uchaguzi lakini kwa nguvu kubwa mno inayoweza kuacha majeraha makubwa yanayotibika au kutotibika.
Uwezo wa kutumia nguvu ya chama ni wa mashaka kwani kutaibuka mvurugano mkubwa kutokana na yeye kutoheshimu wenzake.
Option ya kutumia vyombo vya dola hasa mabaka mabaka ndiyo itakayo mharibia sana. Hivyo kama atatoka 2025 atakuwa hana heshima katika jamii kama watangulizi wake, na suala la foundation sahau bali uwezekano wa kuishia kuwa na maskando ya rushwa, ufisadi hata kuhusishwa na matukio yaliyofanyika dhidi ya uhai wa binadamu na jela kumhusu sana.
Wataalamu wa ushauri wangechukua muda kumshauri kwa kutumia hotuba ile ya Kikwete kuhusu KUJIMWAMBAFAI kumfundisha what's coming later!
Unataka foundation yake ifanye nini
 
Back
Top Bottom