Baada ya 2025, Magufuli Foundation mngependa ifanye nini...

2025 ni muda mchache sana kwa mpenda mabadiliko kama Magufuli, ingefaa aongezewe muda kikatiba na iwe kwake tu , wa kwanza na wa mwisho kuongezewa muda
Only from the Shit-hole countries
 
Magufuli Foundation ijikite kusupport miundombinu, barabara, reli, ports and vinavyohusiana navyo. Ni dhahir kuwa uwezekano wa miundo mbinu aliyowekeza ikafa kifo cha mende baada ya yeye kuondoka madarakani.

Ili kuepusha kifo cha miundo mbinu kama kilivyotokea baada ya mkoloni kuondoka, nashauri Magufuli Foundation, kama itaanzishwa ijikite kwenye 'preventive maintenance' ya miundo mbinu.
 
Magufuli Foundation ijikite kusupport miundombinu, barabara, reli, ports and vinavyohusiana navyo. Ni dhahir kuwa uwezekano wa miundo mbinu aliyowekeza ikafa kifo cha mende baada ya yeye kuondoka madarakani.

Ili kuepusha kifo cha miundo mbinu kama kilivyotokea baada ya mkoloni kuondoka, nashauri Magufuli Foundation, kama itaanzishwa ijikite kwenye 'preventive maintanance' ya miundo mbinu.
Unafahamu Foundation haiwezi kuchukua majukumu yote hayo wakati serikali ipo. Hayo uliyoyataja ni jukumu la serikali. Miundombinu yote huwa inatakiwa kufanyiwa ukarabati kila mwaka. Na hii hutumia pesa nyingi sana, wataalamu,vifaa na material ghali sana. sidhani foundation kama itakuwa na uwezo hai kuajiri wakandarasi wa wizara zote. Sijui labda inawezekana.
Tunge ipa jukumu moja la kijamii, labda kusaidia kusimamia elimu.
 
Wewe umetaka tutoe mawazo. Tunatoa mawazo unayapinga. Hii inaonyesha una wazo lako unataka litajwe. Are you trying to validate ideas? Kwamba Magufuloi aanzishe Foundation ya kishughulikia mambo ya elimu? Je elimu haitakiwi kusimamiwa na serikali?
Foundations kama ya Kikwete inashughulika na nini ambacho serikali isingeweza kufanya?
Turudi kwenye pendekezo la Preventive Maintenance, uinaelewa vizuri hiyo concept? Nipe mfano miundombinu inayofanyiwa preventive maintenance lkwa mafanikio.
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Hiyo Foundation ainzishe tu mapema iwezekanavyo mwaka 2020 maana 2025 wenye nchi yao hawawezi kumruhusu afike mpaka huko!.
 
Magufuli foundation itakuwa inatafuta watu waliotekwa na kupotea
 
Wewe umetaka tutoe mawazo. Tunatoa mawazo unayapinga. Hii inaonyesha una wazo lako unataka litajwe. Are you trying to validate ideas? Kwamba Magufuloi aanzishe Foundation ya kishughulikia mambo ya elimu? Je elimu haitakiwi kusimamiwa na serikali?
Foundations kama ya Kikwete inashughulika na nini ambacho serikali isingeweza kufanya?
Turudi kwenye pendekezo la Preventive Maintenance, uinaelewa vizuri hiyo concept? Nipe mfano miundombinu inayofanyiwa preventive maintenance lkwa mafanikio.
Hahaha samahani siio kwamba napinga naangalia ukubwa wa project na gharama zake halafu naangalia uwezo wa foundation wa kifedha wa foundation ziluzopita au zilizopo.
Batabara huwa zinafanyiwa pm kila mwaka ingawa labda wanaopewa hizo tender huwa hawafanyi vizuri lakini huwa zinatengewa budget ya pm, hasa hizi mpya, pia reli , vichwa na mabehewa yote ya mizigo na habiria hutengewa pesa za pm, tatizo zinaliwa , nakumbuka meli na vivuko pia hutengewa budget za pm vile vile labda zinaliwa na pm kufanywa poorly.
Sipingi mawazo yako au yeyote, nami nilikuwa najaribu kuchambua tu kwa uelewa wangu.
Vyote vinaweza kusimamiwa na serikali ingawa serikali inapoelemewa ndipo hizi NGO au Foundations zina jaribu kusaidia.
Narudia samahani kwa kudhani napinga hoja.
 
Hiyo Foundation ainzishe tu mapema iwezekanavyo mwaka 2020 maana 2025 wenye nchi yao hawawezi kumruhusu afike mpaka huko!.
Wamesha mruhusu mbona, husikii ccm wakimsafishia njia hawataki yeyote aonyeshe nia?! Au ulimaanisha wenyenchi kina nani?!
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!

Iwe ni ya Truth & Reconciliation Commission.
 
2025 mbali hivyo !
Dhalimu mleta njaa, The 1960's immigrant from Rwanda, atakuwa amewamaliza Watanzania na kurudi kwao !
Kila style anatumiaga huyu..
#style ya njaa
#unyang'anyi refer Lugumi, bureau, korosho
#Upigaji risasi
#Utekaji
#Kubana ajira
#Kukwamisha biashara
HUJAFA TU HAPO MTANZANIA ?
 
Tuliona Mwalimu Nyerere Foundation , Benjamini Mkapa foundation, sasa Jajaya Kikwete Foundation.
Itakuja John Pombe Magufuli Foundation baada ya 2025 sio mbali.Hii na hisi itaendelea kuhamasisha mlipe kwa maendeleo yenu. Mkiachana na hisia zangu, nyie mgependa ifanye nini?!
Kuchimba makaburi
 
2025 mbali hivyo !
Dhalimu mleta njaa, The 1960's immigrant from Rwanda, atakuwa amewamaliza Watanzania na kurudi kwao !
Kila style anatumiaga huyu..
#style ya njaa
#unyang'anyi refer Lugumi, bureau, korosho
#Upigaji risasi
#Utekaji
#Kubana ajira
#Kukwamisha biashara
HUJAFA TU HAPO MTANZANIA ?

Acha kusema uongo. Wewe mtu wa wapi?
 
Back
Top Bottom