Prosperity ni matokeo ya invention!
2005 unishauri kurudi Tanzania lakini wakati huo nilikuwa na miradi kule. Failure ya miradi ya hii ilinifanya kunitafute jibu kwanini Mtanzania ambaye anazungukwa na rasimali, soko, na infinite supply of cheap labour anafanya makosa akipewa capital. Jibu ninalo, na maamuzi yangu ni kubeba maboksi tu. Hivyo prove yangu ilikuwa ya kutafuta jibu ambalo halitofautiani sana na yale Nyani Ngabu anayosema.
Hivyo sina sababu ya kumlaumu mkoloni au kutukuza Azimio la Arusha wakati kitu kimo kwenye DNA.
Mpemba Effect: When Hot Water Freezes before Cold
by Ron Kurtus (revised 30 October 2002)The Mpemba Effect is a special phenomenon where hot water freezes faster than cold water. The discovery of this effect was made by a high school student named Mpemba in Tanzania, Africa in 1969. He noticed this phenomenon while making ice cream and was curious enough to make note of it. His teachers did not believe it was possible, and it took several years until university professors finally accepted his discovery.
NB: Now, is that an invention?
Kama ni hivyo kwanini umeme tunaotumia majumbani ni matokeo ya juhudi za nchi ambazo tayari zilishatumia steam engine ? Kwanini uvumbuzi huo haukutokea sehemu zinazotumia nguvu za mitulinga au punda?
Mkuu wewe unauliza kwa nini yaani unatafuta sababu lakini kuwepo kwa umeme ni matokeo yanayotokana na Invention. Mvumbuzi hakufikiria kutoka sream engine kwenda umeme wala mitulinga isipokuwa moto wa Umeme kutokana na mahitaji zaidi..Kama ni hivyo kwanini umeme tunaotumia majumbani ni matokeo ya juhudi za nchi ambazo tayari zilishatumia steam engine ? Kwanini uvumbuzi huo haukutokea sehemu zinazotumia nguvu za mitulinga au punda?
...wewe ndio kilaza nambari wani kabisa,
all great scientist wanachofanya ni observation tuu na kutoa theory ambazo baadaye watu wanakuja kuzifanyia application,
hata Newton or Einstein hawakurusha ndege wala kujenga rockets ila theory zao ndio zinatufanya sasa hivi tunaweza kwenda mwezini,
hiyo mpemba effect sishangai kama nikisikia ndio inatumika leo kutengenezea cooling system
Kumbe hata hiyo Mpemba effect ina utata. Kila mtu ana version yake. Regardless, I think it is useless.
Would you say the same about Archimedes who did the same thing with water or Newton who did the same thing with an Apple and their effect is the foundation of many inventions today?
Bolded and underlined is where lies in the difference. I rest my case...
...kuna tofauti gani kwa alichofanya Mpemba or Archimedes? si wote walitoa theory zao ambazo zinakubalika leo,na mpemba kuwa bwana shamba sio issue,hivi unajua hao scientist waliogundua mambo amabayo mengi leo tunayatumia walikuwa hawana hata elimu ya bwana shamba!
There is only one way you can prove your theory/axiom/conjecture; By arguing:
Necessity is the mother of invention
Invention is the mother of prosperity
Therefore necessity is the mother of prosperity
Similarly ...
Mkuu wewe unauliza kwa nini yaani unatafuta sababu lakini kuwepo kwa umeme ni matokeo yanayotokana na Invention. Mvumbuzi hakufikiria kutoka sream engine kwenda umeme wala mitulinga isipokuwa moto wa Umeme kutokana na mahitaji zaidi..
Transitive relation katika masuala mengine haipandi mzee. Kama necessity ingekuwa mother of invention, Tanzania ingekuwa mbali sasa.
Vijana wengi wa Tanzania wamepitia kwenye shule za kukaa chini, na kwa miaka zaidi ya 20 sasa haijafanya watanzania wavumbua madawati na vitu vingine vya kuwasaidia.
Niko sure kwa sababu MAHITAJI sio ktk mtazamo wako kwamba binadamu wote tunahitaji maji hivyo ni lazima tuvumbue windmills au vitu ambavyo tayari vimekwisha vumbuliwa.. Hapana mkuu wangu sivyo, kama ungesema maji hayapo na tunahitaji maji basi tungevumbua kitu kingine ku replace maji huo ndio uvumbuzi na sio kitu ambacho tayari kinatumika..lakini sio kuiga kutumia windmills ukasema ni uvumbuzi. Waliovumbua windmills ni kutokana na kutokuwa na maji hayo hivyo walitafuta mbinu za kuvuta maji ndipo windmills zilipovumbuliwa.Are you sure? Watanzania wengi wanahitaji maji ya kutumia. Na kwanini hawavumbui au kuiga matumizi ya windmills kuvuta maji. Kuongezeka kwa mahitaji hakukufanyi uwe mfumbuzi.
Haya twende taratibu, hatua kwa hatua ili tuelewane hapo:
1. Prosperity ni nini?
2. Nini kinaifanya Jamii iwe Prosperous?
3. Kama Prosperity huleta Invention, Jamii isiyo Prosperous ifanye nini?
Niko sure kwa sababu MAHITAJI sio ktk mtazamo wako kwamba binadamu wote tunahitaji maji hivyo ni lazima tuvumbue windmills au vitu ambavyo tayari vimekwisha vumbuliwa.. Hapana mkuu wangu sivyo, kama ungesema maji hayapo na tunahitaji maji basi tungevumbua kitu kingine ku replace maji huo ndio uvumbuzi na sio kitu ambacho tayari kinatumika..lakini sio kuiga kutumia windmills ukasema ni uvumbuzi. Waliovumbua windmills ni kutokana na kutokuwa na maji hayo hivyo walitafuta mbinu za kuvuta maji ndipo windmills zilipovumbuliwa.
Tanzania tuna mito na maziwa kibao hatukuwa na shida ya maji isipokuwa ktk baadhi ya makabila ambao walichimba visima..Hivyo ukirudi ktk historia ya makabila hayo utagundua uvumbuzi wao..Kumbuka tu kwamba Tanzania au niseme Tanganyika na Zanzibar hazikuanza kuwepo baada ya wazungu kuja ila zilikuwepo na watu walipata maji ya kuwatosha.
Leo hii hatuhitaji uvumbuzi tena kwa sababu kinachotakiwa ni matumizi ya ELIMU zetu tuyapate maji hayo..Kesho mtu akiweka bomba la maji toka Victoria hadi Dar kwa kupitia mikoa yote ya kati huo hauwezi kuitwa uvumbuzi ila inaweza kuwa properity.
Nchi za kiarabu wanachukua maji ya bahari (maji chunvi) na kuyabadilisha kuwa maji baridi ya kunywa, kupikia na kadhalika, hawa hawakuvumbua kitu chochote ila wametumia uvumbuzi ulokuwepo kukidhi mahitaji yao na ndio tunaona hizo Prosperity..
Uvumbuzi wa vifaa vingine vyote vya kuvuta maji vimetokana na MAHITAJI na ndio unakuta wachumi wakituletea mahesabu ya Supply and Demand..ni katika mfululizo wa mahitaji ndio unakuta watu wakivunja vichwa kutafuta uvumbuzi.. Kwa mfano leo hii ukivumbua dawa ya kuondoa Vipara, hakika utatengeneza mivanda kichizi..lakini kaa utapandikiza nywele haiwezi kuwa uvumbuzi labda niseme ni umevumbua solution ya kipara chako mwenyewe.
Bhagosha,
Mimi naomba mtu wekeee hata machache muhimu kuhusu Azimio La Arusha kwani ndilo litakao wafungua UVCCM na kujua wapi wanakwenda maana wao ndio wanaojidai kuwa wanaandaliwa kwa ajiri ya leo na kesho na je watapenda kukufufuliwa kwa Azimio la Arusha kama ilivyo EAC????