Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

Mkandara hiyo collective work and responsibility ni muhimu katika jamii yoyote ya kijima kwa sababu transactions zinafanyika humo. Kwenye jamii hizi unapofanya shughuli collectively unategemea watu wakuone na watambue mchango wako. Pale unapopata matatizo watakusaidia kutokana na mchango wako.

Ndio maana katika jamii zetu, mtu akifa watu watakuja kwenye msiba kwa sababu wanajua wakipatwa na matatizo nao watahitaji msaada kutoka kwa wengine.

Hivyo collective work and responsibility unayoitaja hapa ni bima watu wanayojiwekea. Lakini tusijisifu kuwa ni kitu unique kwa waAfrika. Jamii zote zilizo chini kimaendeleo zinafanya hivi.

Kwenye nchi zilizoendelea mtu anaweza kununua bima kutokana kipato chake. Hivyo kukitokea msiba hana sababu mtu kwenda msibani au kwenye matanga.

Mkuu U are missing the point hapa..

hakuna mtu anazungumzia wazungu wanafanya nini au hao wenye mifedha.. Sisi hatuna kitu watupuuuu hivyo tunapopanga masiha yetu ni lazima tujipange kulingana na mifuko yetu.. Collective work and responsibility ni maisha ya mwafrika toka zamani enzi na enzi wakati utajiri ulikuwepo tena mkubwa kuliko Ulaya..Hadithi za kina Pharaoh, Queen Sheba, Zulu na wengineo..mfumo wa maisha yetu haukubadilika toka enzi zile hadi ukoloni na hata uhuru, isipokuwa kwa nchi chache sana za kusini mwa jangwa ambao tumeamua kuachana na mila na desturi hizo ili KUIGA za wazungu.
 
Mkuu hapo umenena ila hizo sio sehemu ndogo ndogo, hiyo ndio misingi/kanuni yenyewe za Azimio ambalo Nabii wake alisema tutazirejea tutake tusitake.

As a step forward tushinikize ule Muswada wa Maadili ya Uongozi aliouwasilisha Zitto upite!

Wewe una matatizo makubwa sana. Unapochukua sehemu ya Azimio la Arusha basi hili sio Azimio la Arusha tena. Ni kitu kipya.
 
Mkuu Mkandara kitabu nitakacho quote ni Keeping the Republic 3rd Edition. Nili kitumia kwenye course yangu ya U.S. Government. Hapo chini ni citation toka page 11 ya hicho kitabu.

Social Democracy
Some countries in western Europe, especially the Scandinavian nations of Norway, Denmark, and Sweden, have developed hybrid systems. As noted in Figure 1.1, these systems represent something of a middle ground between socialism and capitalism systems. Primarily capitalist, in that they believe most property can be privately held, proponents of social democracy nonetheless argue that the values of equality promoted by socialism are attractive and can be brought about by democratic reform rather than revolution. Believing that the economy does not have to be earned by the state, social democratic countries attempt to strike a difficult balance between providing substantive guarantees of fair outcomes and procedural guarantees of fair rules.

Hata Ujamaa ni hybrid system ndio maana Wascandinavia waliusupport sana!
 
Mkuu U are missing the point hapa..
hakuna mtu anazungumzia wazungu wanafanya nini au hao wenye mifedha.. Sisi hatuna kitu watupuuuu hivyo tunapopanga masiha yetu ni lazima tujipange kulingana na mifuko yetu.. Collective work and responsibility ni maisha ya mwafrika toka zamani enzi na enzi wakati utajiri ulikuwepo tena mkubwa kuliko Ulaya..Hadithi za kina Pharaoh, Queen Sheba, Zulu na wengineo..mfumo wa maisha yetu haukubadilika toka enzi zile hadi ukoloni na hata uhuru, isipokuwa kwa nchi chache sana za kusini mwa jangwa ambao tumeamua kuachana na mila na desturi hizo ili KUIGA za wazungu.

Bado unaboronga mkuu. Ukiangalia ya mapyramid na Oblesk zilizopo Sudan, Misri na Ethiopia huwezi kunidanganya kuwa zilifanywa kwa collective work and responsibility. Kuna watu walichapwa viboko kama watumwa, wengine walikuwa wanyapara, na wengine watawala.

Kuna kaburi liligunduliwa huko Sudan likionyesha mfalme kazikwa na watu 300. Sasa hiyo collective work na responsibilty gani ya mfalme kuwa na watumwa kaburini ?

Nyerere alikwenda shule wakati historia ya Afrika ilikuwa haifundishwi mashuleni. Hivyo hakuwa versed na history ya Afrika. Hivyo inawezekana alitoa vitabu vyake kwa kuangalia WAZANAKI TU.
 
Wewe una matatizo makubwa sana. Unapochukua sehemu ya Azimio la Arusha basi hili sio Azimio la Arusha tena. Ni kitu kipya.

Kumbuka sio mimi niliyetoa mada ya kuzaliwa upya kwa Azimio la Arusha. Na hata hivyo kitu kikizaliwa upya si ina maana ni kipya? Au kitu ukikitohoa si ina maana umekifanya kiwe kipya? Misingi/Kanuni inabaki kuwa ile ile ila namna ya ku-operationalize kanuni/misingi hiyo ndio inabadilika ili operationalization iendane na wakati.

HIVYO BASI NASEMA HIVI TULITOHOE AZIMIO LA ARUSHA ILI LIENDANE NA MAZINGIRA YETU YA LEO!
 
Alafu wewe Zakumi ukipewa kiini cha yai (Mwongozo) ule utasema hujala yai (Azimio)?
 
Nilisema Economic Prosperity is the mother of inventions. Kuwapa wanafunzi chakula bure, hile ni handout or Humanitarian relief kwa wanafunzi na ina negative impacts kwa maendeleo ya kiuchumi.

Let me ask you a chicken egg question: What comes before the other, prosperity or invention? Can you be prosperous if you had not invented in the first place? Surely Bluray will also prove that your thesis is fallacious!

Necessity, it has been proved beyond any reasonable doubt, is the mother of all inventions!
 
Zakumi,

..kuna muswada binafsi uliowasilishwa na Jenerali Ulimwengu. mswada huo ndiyo uliozaa sheria ya maadili ya viongozi.

..binafsi nadhani kuna watu wana usongo na obssesion na Azimio la Arusha kiasi kwamba wanataka kumburuza kila Mtanzania huko.

..pia mambo mengine yanayofanyika Tanzania yanapaswa kushughulikiwa na sheria ya makosa ya jinai, sheria ya uhujumu uchumi, au hata taratibu za utumishi wa umma.

..personally nadhani tuki-enforce sheria zetu za makosa ya jinai, sheria za uhujumu uchumi, na tukapiga kura kwa kutumia busara zaidi na kuchagua viongozi wanaojali maslahi ya nchi, matatizo yetu mengi yatapungua.

..tatizo lingine Watanzania tunapenda sana kubomoa na kuanza upya. kuna wakati Bunge lilivunja serikali za mitaa, baadaye likazirudisha. kuna kipindi vyama vya ushirika vilivunjwa, halafu vikarudishwa.
 
Sheria zina Msingi/Foundation unaofanya kuwe na utashi wa kuzitekeleza. Sheria tunazo kibao mpaka hatujui tunazo ngapi kama Karl Lyimo alivyobainisha Jumapili. Tunachokosa ni Msingi unaotokana na ule msemo wa 'Sheria hutokana na Watu'! Azimio la Arusha - na Mwongozo wake - ndio ulikuwa Msingi huo.
 
Necessity, it has been proved beyond any reasonable doubt, is the mother of all inventions!

Then how come we don't invent jack?

But also I take issue with your sweeping statement. Necessity has not been proven beyond a reasonable doubt to be the mother of all inventions. Your sweeping statement leaves out something that I think is at the very center of the inventing process and that thing is ingenuity/ intelligence.

I don't care how needy you are. If you don't have what it takes to fulfil your need, there ain't much you can do. So if necessity is the mother, then definitely ingenuity is the father and the offspring is prosperity.
 
Jokakuu,

Mkuu wangu hakuna mtu anayekuwa obssessed na Azimio la Arusha, hata kidogo ila nakuomba tazama upande wetu jinsi tunavyofikiria kwanza..

Azimio la Zanzibar limeondoa sheria hizo unazozitaka zisimamishwe. Leo hii ni halali kabisa kwa kiongozi yeyote kufanya atakavyo kama raia mwingine hakuna miiko wala maadili ya Uongozi as to say kila mtu yuko sawa chini ya sheria..Mkuu wangu huwezi kuondoa sheria za barabani kwa dereva ukaziweka sheria sawa na abiria...

Ufisadi wote umetendeka kwa kufuata sheria zote hizi...hivyo hata Mkapa unaweza kutokuwa na kosa kufungua ofisi yake Ikulu, Meghji kujihusisha na Utalii, viongozi kuchukua mikopo BoT na NSSF wakifungua biashara ndani ya wizara wanazosimamia.Sasa hapa utaweza vipi kuweka sheria ya conflict of interest ikiwa kiongozi anaruhusiwa kufanya biashara/ Mimi kama waziri wa ardhi nitachukua ardhi na majumba nitakavyo..sheria ni kupitia maombi ambayo nayapitisha mwenyewe..
Angalia mikataba ya Richmond na Dowans, madini, kuchukuliwa kwa majumba, kuuzwa kwa mashirkka yote haya yametokana na Ruksa kwa viongozi..

Tunachoomba sisi sio Azimio la Arusha kurudia Ujamaa wa serikali kuendesha UCHUMI wetu laa hasha as a fact hadi leo hii sehemu kubwa ya uchumi wetu bado imekamatwa na viongozi wetu..Tumetoka ktk serikali kuhodhi mali na kwenda katika Viongozi hao hao wa serikali kuhodhi mali, hali ambayo ilitokea China baada ya Mao Tze Tung kufariki..
Kulitokea nini? ndani ya chama hicho tawala akatokea mjinga mmoja akawanyonga wote wazee wa Mao, watu wakaanza upya na wakarudisha sheria kali zinazowakinga viongozi kutumia madaraka yao vibaya. Ni process ya kuelewa tumetoka wapi na tunakwenda wapi..tuondoe pumba tubakie na mchele..tatizo la nchi yetu tumetupa mpunga wote pamoja na mbegu, hatutaki kazi ya kupepeta, kuchambua ila tunaagiza toka nje ulokuwa tayari kwa matumizi.

Ukiweza kuelewa hilo nadhani haitakuwa kazi kubwa kutufuatilia.
 
Let me ask you a chicken egg question: What comes before the other, prosperity or invention? Can you be prosperous if you had not invented in the first place? Surely Bluray will also prove that your thesis is fallacious!

Necessity, it has been proved beyond any reasonable doubt, is the mother of all inventions!

Hiyo thesis yangu nimei-proved. Ni kwa sababu sipendi tu mambo ya academy. Lakini materials niliyonayo sasa yanaonyesha kuwa prosperity is the mother of all inventions.

Kama ni necessity, basi percentage ya economic growth katika nchi za kiAfrika ingefika infinite.
 
Then how come we don't invent jack?

But also I take issue with your sweeping statement. Necessity has not been proven beyond a reasonable doubt to be the mother of all inventions. Your sweeping statement leaves out something that I think is at the very center of the inventing process and that thing is ingenuity/ intelligence.

I don't care how needy you are. If you don't have what it takes to fulfil your need, there ain't much you can do. So if necessity is the mother, then definitely ingenuity is the father and the offspring is prosperity.

How do you know it has not been proved beyond any reasonable doubt or you are also making a sweeping counter statement?

We have a lot of inventors - including the Mpemba Effect guy that you dismissed - but what we lack is a conducive environment and policy inventor friendly framework (Azimio la Arusha) to enable them to increase their scope of invention!
 
Hiyo thesis yangu nimei-proved. Ni kwa sababu sipendi tu mambo ya academy. Lakini materials niliyonayo sasa yanaonyesha kuwa prosperity is the mother of all inventions.

Kama ni necessity, basi percentage ya economic growth katika nchi za kiAfrika ingefika infinite.

Alafu Liafrika Julius linakupongeza kwa kudai ume-prove kitu wakati proof umeificha chini ya uvungu - ilete ifanyiwe thorough peer review tuone kama ina-hold water!

Yaani ndio maana Miafrika hatuendelei, tunakalia tu uchumi wa inventions na proofs!
 
How do you know it has not been proved beyond any reasonable doubt or you also making a sweeping counter statement?

How do I know? Well, one can't happen without the other so how can you brazenly say that it has been proven beyond a reasonable doubt? If that's what you think then I'm afraid to say that you don't even know what the hell you are doing or you don't know what the hell you are talking about

We have a lot of inventors - including the Mpemba Effect guy that you dismissed - but what we lack is a conducive environment and policy inventor friendly framework (Azimio la Arusha) to enable them to increase their scope of invention!

Dude please...what did this Mpemba guy invent? Encountering something is not inventing anything. So cut that Mpemba BS out.
 
Mpemba Effect: When Hot Water Freezes before Cold

by Ron Kurtus (revised 30 October 2002)​
The Mpemba Effect is a special phenomenon where hot water freezes faster than cold water. The discovery of this effect was made by a high school student named Mpemba in Tanzania, Africa in 1969. He noticed this phenomenon while making ice cream and was curious enough to make note of it. His teachers did not believe it was possible, and it took several years until university professors finally accepted his discovery.

NB: Now, is that an invention?
 
Alafu Liafrika Julius linakupongeza kwa kudai ume-prove kitu wakati proof umeificha chini ya uvungu - ilete ifanyiwe thorough peer review tuone kama ina-hold water!

Yaani ndio maana Miafrika hatuendelei, tunakalia tu uchumi wa inventions na proofs!

2005 unishauri kurudi Tanzania lakini wakati huo nilikuwa na miradi kule. Failure ya miradi ya hii ilinifanya kunitafute jibu kwanini Mtanzania ambaye anazungukwa na rasimali, soko, na infinite supply of cheap labour anafanya makosa akipewa capital. Jibu ninalo, na maamuzi yangu ni kubeba maboksi tu. Hivyo prove yangu ilikuwa ya kutafuta jibu ambalo halitofautiani sana na yale Nyani Ngabu anayosema.

Hivyo sina sababu ya kumlaumu mkoloni au kutukuza Azimio la Arusha wakati kitu kimo kwenye DNA.
 
Kwikwikwi hizo ndio prosperity. Mwaka jana kulikuwa na ukama mkubwa Georgia. Lakini ukame huo haukufanya kuongezeka kwa bei ya chakula. Nyama watu waliendelea kula bila matatizo na umeme uliendelea kuwepo.

Mara nyingi inatokea drought hapa viwanja, lakini hakuna mtu anayeelewa kuwa ukame umetokea zaidi ya wakulima wachache ambao nao wanakamatishwa mshiko kufidia hasara.

...thanks god Republican na dear leader wao Rush are out of power la sivyo njaa ingewamaliza huko South!
 
Mpemba Effect: When Hot Water Freezes before Cold

by Ron Kurtus (revised 30 October 2002)​
The Mpemba Effect is a special phenomenon where hot water freezes faster than cold water. The discovery of this effect was made by a high school student named Mpemba in Tanzania, Africa in 1969. He noticed this phenomenon while making ice cream and was curious enough to make note of it. His teachers did not believe it was possible, and it took several years until university professors finally accepted his discovery.

NB: Now, is that an invention?

This is not a proper version of what happened. This Ron Kurtus guy wants to take the glory from Mpemba. How can he say he just made a 'note of it'! Here is another version which I believe is the most accurate one:

In 1963, Mpemba was making ice cream at school, which he did by mixing boiling milk with sugar. He was supposed to wait for the milk to cool before placing it the refrigerator, but in a rush to get scarce refrigerator space, put his milk in without cooling it. To his surprise, he found that his hot milk froze into ice cream before that of other students. He asked his physics teacher for an explanation, but was told that he must have been confused, since his observation was impossible.

Mpemba believed his teacher at the time. But later that year he met a friend of his who made and sold ice cream in Tanga town. His friend told Mpemba that when making ice cream, he put the hot liquids in the refrigerator to make them freeze faster. Mpemba found that other ice cream sellers in Tanga had the same practice.

Later, when in high school, Mpemba learned Newton's law of cooling, that describes how hot bodies are supposed to cool (under certain simplifying assumptions). Mpemba asked his teacher why hot milk froze before cold milk when he put them in the freezer. The teacher answered that Mpemba must have been confused. When Mpemba kept arguing, the teacher said "All I can say is that is Mpemba's physics and not the universal physics" and from then on, the teacher and the class would criticize Mpemba's mistakes in mathematics and physics by saying "That is Mpemba's mathematics" or "That is Mpemba's physics." But when Mpemba later tried the experiment with hot and cold water in the biology laboratory of his school, he again found that the hot water froze sooner.

Earlier, Dr Osborne, a professor of physics, had visited Mpemba's high school. Mpemba had asked him to explain why hot water would freeze before cold water. Dr Osborne said that he could not think of any explanation, but would try the experiment later. When back in his laboratory, he asked a young technician to test Mpemba's claim. The technician later reported that the hot water froze first, and said "But we'll keep on repeating the experiment until we get the right result." However, repeated tests gave the same result, and in 1969 Mpemba and Osborne wrote up their results [5].

In the same year, in one of the coincidences so common in science, Dr Kell independently wrote a paper on hot water freezing sooner than cold water. Kell showed that if one assumed that the water cooled primarily by evaporation, and maintained a uniform temperature, the hot water would lose enough mass to freeze first [11]. Kell thus argued that the phenomenon (then a common urban legend in Canada) was real and could be explained by evaporation. However, he was unaware of Osborne's experiments, which had measured the mass lost to evaporation and found it insufficient to explain the effect. Subsequent experiments were done with water in a closed container, eliminating the effects of evaporation, and still found that the hot water froze first [14].

Subsequent discussion of the effect has been inconclusive. While quite a few experiments have replicated the effect [4,6-13], there has been no consensus on what causes the effect. The different possible explanations are discussed above. The effect has repeatedly a topic of heated discussion in the "New Scientist", a popular science magazine. The letters have revealed that the effect was known by laypeople around the world long before 1969. Today, there is still no well-agreed explanation of the Mpemba effect.

Source: http://math.ucr.edu/home/baez/physics/General/hot_water.html#History
 
Back
Top Bottom