Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
Jethro:
Kuna vitu vingine vinatakiwa kwenye moyo na sio lazima kuandikwa kwenye vitabu.
Wahehe walipokuwa wanapigana na wajerumani hawakujua kusoma wala kuandika. Hawakuwa na Azimio lolote la Arusha, lakini they knew what they were fighting for. You can't put a good fight, if you are unmotivated.
Those days of Mkwawa, Mirambo, Mputa, Rumanyika n.k they were definitely best leaders ever lived in the land of Tanzania, Yet they had no any so called Azimio
Kipimo pekee cha wabishi wanaotaka Azimio, ebu lianzisheni basi sio kupiga kelele tu humu!
Kutokuanzisha Azimio sasa ni kipimo pekee kuwa haliwezekaniki, people needs to think otherwise..
1,Badilisha Katiba
2.Ianzishwe serikali ya pamoja
3. Viongozi wawe accountable
4.Kuacha kulindana
thats all