Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

Prosperity ni matokeo ya invention!

Kama ni hivyo kwanini umeme tunaotumia majumbani ni matokeo ya juhudi za nchi ambazo tayari zilishatumia steam engine ? Kwanini uvumbuzi huo haukutokea sehemu zinazotumia nguvu za mitulinga au punda?
 
Kumbe hata hiyo Mpemba effect ina utata. Kila mtu ana version yake. Regardless, I think it is useless.
 
2005 unishauri kurudi Tanzania lakini wakati huo nilikuwa na miradi kule. Failure ya miradi ya hii ilinifanya kunitafute jibu kwanini Mtanzania ambaye anazungukwa na rasimali, soko, na infinite supply of cheap labour anafanya makosa akipewa capital. Jibu ninalo, na maamuzi yangu ni kubeba maboksi tu. Hivyo prove yangu ilikuwa ya kutafuta jibu ambalo halitofautiani sana na yale Nyani Ngabu anayosema.

Hivyo sina sababu ya kumlaumu mkoloni au kutukuza Azimio la Arusha wakati kitu kimo kwenye DNA.

Du DNA! Hata DNA zinakuwa transformed na mazingira. Nurture affects Nature and vice versa. DNA za Mwafrika haziwezi kuwa duni all the time!
 
Mpemba Effect: When Hot Water Freezes before Cold

by Ron Kurtus (revised 30 October 2002)​
The Mpemba Effect is a special phenomenon where hot water freezes faster than cold water. The discovery of this effect was made by a high school student named Mpemba in Tanzania, Africa in 1969. He noticed this phenomenon while making ice cream and was curious enough to make note of it. His teachers did not believe it was possible, and it took several years until university professors finally accepted his discovery.

NB: Now, is that an invention?

...wewe ndio kilaza nambari wani kabisa,all great scientist wanachofanya ni observation tuu na kutoa theory ambazo baadaye watu wanakuja kuzifanyia application,hata Newton or Einstein hawakurusha ndege wala kujenga rockets ila theory zao ndio zinatufanya sasa hivi tunaweza kwenda mwezini,hiyo mpemba effect sishangai kama nikisikia ndio inatumika leo kutengenezea cooling system
 
Kama ni hivyo kwanini umeme tunaotumia majumbani ni matokeo ya juhudi za nchi ambazo tayari zilishatumia steam engine ? Kwanini uvumbuzi huo haukutokea sehemu zinazotumia nguvu za mitulinga au punda?

There is only one way you can prove your theory/axiom/conjecture; By arguing:

Necessity is the mother of invention
Invention is the mother of prosperity
Therefore necessity is the mother of prosperity
Similarly ...
 
Kama ni hivyo kwanini umeme tunaotumia majumbani ni matokeo ya juhudi za nchi ambazo tayari zilishatumia steam engine ? Kwanini uvumbuzi huo haukutokea sehemu zinazotumia nguvu za mitulinga au punda?
Mkuu wewe unauliza kwa nini yaani unatafuta sababu lakini kuwepo kwa umeme ni matokeo yanayotokana na Invention. Mvumbuzi hakufikiria kutoka sream engine kwenda umeme wala mitulinga isipokuwa moto wa Umeme kutokana na mahitaji zaidi..
 
...wewe ndio kilaza nambari wani kabisa,

Wewe ni kiazi tu!

all great scientist wanachofanya ni observation tuu na kutoa theory ambazo baadaye watu wanakuja kuzifanyia application,

Mpemba siyo great scientist. Ni bwana shamba au sijui ofisa wa mbuga ya wanyama

hata Newton or Einstein hawakurusha ndege wala kujenga rockets ila theory zao ndio zinatufanya sasa hivi tunaweza kwenda mwezini,

Zinawafanya wewe na nani maana last I checked, ni wazungu na waasia tu ndio wenye vyombo vya kwenda huko. What has your African booty scratcher behind done?

hiyo mpemba effect sishangai kama nikisikia ndio inatumika leo kutengenezea cooling system

Cooling system zilikuwepo tokea hata Mpemba wako hajazaliwa.
 
Kumbe hata hiyo Mpemba effect ina utata. Kila mtu ana version yake. Regardless, I think it is useless.

Would you say the same about Archimedes who did the same thing with water or Newton who did the same thing with an Apple and their effect is the foundation of many inventions today?

You cannot just jump and become an inventing society without the likes of Mpemba who can observe and experiment!
 
Would you say the same about Archimedes who did the same thing with water or Newton who did the same thing with an Apple and their effect is the foundation of many inventions today?

Bolded and underlined is where lies in the difference. I rest my case...
 
Bolded and underlined is where lies in the difference. I rest my case...

...kuna tofauti gani kwa alichofanya Mpemba or Archimedes? si wote walitoa theory zao ambazo zinakubalika leo,na mpemba kuwa bwana shamba sio issue,hivi unajua hao scientist waliogundua mambo amabayo mengi leo tunayatumia walikuwa hawana hata elimu ya bwana shamba!
 
Hebu acha zako wewe Mluguru. Stature ya Archemedes na Mpemba ni usiku na mchana.

Umewahi kumsikia Rene Descartes?
 
Bhagosha,

Mimi naomba mtu wekeee hata machache muhimu kuhusu Azimio La Arusha kwani ndilo litakao wafungua UVCCM na kujua wapi wanakwenda maana wao ndio wanaojidai kuwa wanaandaliwa kwa ajiri ya leo na kesho na je watapenda kukufufuliwa kwa Azimio la Arusha kama ilivyo EAC????
 
Ngosha,

Labda tukufahamishe tena.. tunachotaka sisi ni Azimio la kitaifa ambalo mengi yatatokana na Azimio la Arusha hasa ktk maswala ya JAMII.. kwa mfano:-

1. IMANI za Azimio hilo zinakubalika ktk mfumo wowote ule wa chama, siasa au serikali.
2. MADHUMUNI ya Azimio hilo yanakubaliika ingawa kunaweza ondoa baadhi ya sehemu.
3. SIASA ya UJAMAA na KUJITEGEMEA ipewe tafsiri nzuri zaidi.. (refoming) pamoja na kwamba bado kabisa inajitosheleza.. kwa mfano soma KUJITEGEMA utaona yale yaliyotokea baada ya Uhuru na Azimio kuzaliwa ndio yamerudi sasa hivi.. kwa hiyo kitachobadilika tu ni kutokutazama nje ya nafsi zetu wenyewe. Muhimu tu sasa hivi ni kutambua kwamba tumo ktk karne ya Utandawazi na soko Huria (Open market economy).
4. Na kubwa kuliko Yote Miiko na Maadili ya viongozi. Turudishe sheria zote zinazowafunga viongozi wa serikali ikiwa ni pamoja na Rais, makamu wake, Mawaziri, Ma naibu Waziri, wakurugenzi na wafanyakazi wote ndani ya wizara au idara za serikali kutomiliki biashara..Hii itapunguza kuchungana, Ukiritimba, watu kuacha kazi wakashughulikie biashara zao na kadhalika.. muhimu zaidi Walipwe mishahara mizuri na tupunguze ukubwa wa serikali tohsa kabisa.

Dunia ya mwalimu Nyerere sio hii tena, wakati ule hapakuwepo utandawazi leo hii bwelele nguvu yako hivyo mkazo wa Uzalishaji na kutambua vipaji vyertu unabakia paleplae..KILIMO ndio uti wa mgongo wa uchumi wetu... hilo tukubali tusikubali ndio fact..

Nasema hivi kwa sababu najua wazi kwamba huwezi kumfundisha Mbatu kukimbia marathon akashinda Olimpic hata siku moja, inatakiwa mtu mwenye asili ya ufugaji na ndio maana unaona Kenya, Ethiopia wanatuumiza kila mwaka..Hivyo tukubali kwanza sisi ni wakulima (kilimo, uvuvi na Ufugaji) ndio kipaji chetu na hapo ndipo uvumbuzi utakapo toka kuuza viwanda, services na kadhalika..New Zealand wanajulikana duniani zaidi kwa ufugaji na wamefanikiwa sana kujenga chumi nyinginezo kutokana na hilo.

Kwa hiyo kinachobadilika hapa haswa ni kutokuwa na cetral Government inayoendesha uchumi wa nchi isipokuwa policy, regulations na kushika nguzo kuu za Uchumi (Commanding Heights) ambazo kama hatuna uwezo tunaweza weka mashirika under contract kukidhi mahitaji yetu na sio wao kutuwekea mashrti yao ili wananchi waadapt..
 
There is only one way you can prove your theory/axiom/conjecture; By arguing:

Necessity is the mother of invention
Invention is the mother of prosperity
Therefore necessity is the mother of prosperity
Similarly ...

Transitive relation katika masuala mengine haipandi mzee. Kama necessity ingekuwa mother of invention, Tanzania ingekuwa mbali sasa.

Vijana wengi wa Tanzania wamepitia kwenye shule za kukaa chini, na kwa miaka zaidi ya 20 sasa haijafanya watanzania wavumbua madawati na vitu vingine vya kuwasaidia.
 
Mkuu wewe unauliza kwa nini yaani unatafuta sababu lakini kuwepo kwa umeme ni matokeo yanayotokana na Invention. Mvumbuzi hakufikiria kutoka sream engine kwenda umeme wala mitulinga isipokuwa moto wa Umeme kutokana na mahitaji zaidi..

Are you sure? Watanzania wengi wanahitaji maji ya kutumia. Na kwanini hawavumbui au kuiga matumizi ya windmills kuvuta maji. Kuongezeka kwa mahitaji hakukufanyi uwe mfumbuzi.
 
Transitive relation katika masuala mengine haipandi mzee. Kama necessity ingekuwa mother of invention, Tanzania ingekuwa mbali sasa.

Vijana wengi wa Tanzania wamepitia kwenye shule za kukaa chini, na kwa miaka zaidi ya 20 sasa haijafanya watanzania wavumbua madawati na vitu vingine vya kuwasaidia.

Haya twende taratibu, hatua kwa hatua ili tuelewane hapo:

1. Prosperity ni nini?
2. Nini kinaifanya Jamii iwe Prosperous?
3. Kama Prosperity huleta Invention, Jamii isiyo Prosperous ifanye nini?
 
Are you sure? Watanzania wengi wanahitaji maji ya kutumia. Na kwanini hawavumbui au kuiga matumizi ya windmills kuvuta maji. Kuongezeka kwa mahitaji hakukufanyi uwe mfumbuzi.
Niko sure kwa sababu MAHITAJI sio ktk mtazamo wako kwamba binadamu wote tunahitaji maji hivyo ni lazima tuvumbue windmills au vitu ambavyo tayari vimekwisha vumbuliwa.. Hapana mkuu wangu sivyo, kama ungesema maji hayapo na tunahitaji maji basi tungevumbua kitu kingine ku replace maji huo ndio uvumbuzi na sio kitu ambacho tayari kinatumika..lakini sio kuiga kutumia windmills ukasema ni uvumbuzi. Waliovumbua windmills ni kutokana na kutokuwa na maji hayo hivyo walitafuta mbinu za kuvuta maji ndipo windmills zilipovumbuliwa.

Tanzania tuna mito na maziwa kibao hatukuwa na shida ya maji isipokuwa ktk baadhi ya makabila ambao walichimba visima..Hivyo ukirudi ktk historia ya makabila hayo utagundua uvumbuzi wao..Kumbuka tu kwamba Tanzania au niseme Tanganyika na Zanzibar hazikuanza kuwepo baada ya wazungu kuja ila zilikuwepo na watu walipata maji ya kuwatosha.

Leo hii hatuhitaji uvumbuzi tena kwa sababu kinachotakiwa ni matumizi ya ELIMU zetu tuyapate maji hayo..Kesho mtu akiweka bomba la maji toka Victoria hadi Dar kwa kupitia mikoa yote ya kati huo hauwezi kuitwa uvumbuzi ila inaweza kuwa properity.

Nchi za kiarabu wanachukua maji ya bahari (maji chunvi) na kuyabadilisha kuwa maji baridi ya kunywa, kupikia na kadhalika, hawa hawakuvumbua kitu chochote ila wametumia uvumbuzi ulokuwepo kukidhi mahitaji yao na ndio tunaona hizo Prosperity..
Uvumbuzi wa vifaa vingine vyote vya kuvuta maji vimetokana na MAHITAJI na ndio unakuta wachumi wakituletea mahesabu ya Supply and Demand..ni katika mfululizo wa mahitaji ndio unakuta watu wakivunja vichwa kutafuta uvumbuzi.. Kwa mfano leo hii ukivumbua dawa ya kuondoa Vipara, hakika utatengeneza mivanda kichizi..lakini kaa utapandikiza nywele haiwezi kuwa uvumbuzi labda niseme ni umevumbua solution ya kipara chako mwenyewe.
 
Haya twende taratibu, hatua kwa hatua ili tuelewane hapo:

1. Prosperity ni nini?
2. Nini kinaifanya Jamii iwe Prosperous?
3. Kama Prosperity huleta Invention, Jamii isiyo Prosperous ifanye nini?

Mbona unakwepa kumsikiliza Nyani Ngabu ??? Majibu amekupa lakini hutaki kuamini.
 
Niko sure kwa sababu MAHITAJI sio ktk mtazamo wako kwamba binadamu wote tunahitaji maji hivyo ni lazima tuvumbue windmills au vitu ambavyo tayari vimekwisha vumbuliwa.. Hapana mkuu wangu sivyo, kama ungesema maji hayapo na tunahitaji maji basi tungevumbua kitu kingine ku replace maji huo ndio uvumbuzi na sio kitu ambacho tayari kinatumika..lakini sio kuiga kutumia windmills ukasema ni uvumbuzi. Waliovumbua windmills ni kutokana na kutokuwa na maji hayo hivyo walitafuta mbinu za kuvuta maji ndipo windmills zilipovumbuliwa.

Tanzania tuna mito na maziwa kibao hatukuwa na shida ya maji isipokuwa ktk baadhi ya makabila ambao walichimba visima..Hivyo ukirudi ktk historia ya makabila hayo utagundua uvumbuzi wao..Kumbuka tu kwamba Tanzania au niseme Tanganyika na Zanzibar hazikuanza kuwepo baada ya wazungu kuja ila zilikuwepo na watu walipata maji ya kuwatosha.

Leo hii hatuhitaji uvumbuzi tena kwa sababu kinachotakiwa ni matumizi ya ELIMU zetu tuyapate maji hayo..Kesho mtu akiweka bomba la maji toka Victoria hadi Dar kwa kupitia mikoa yote ya kati huo hauwezi kuitwa uvumbuzi ila inaweza kuwa properity.

Nchi za kiarabu wanachukua maji ya bahari (maji chunvi) na kuyabadilisha kuwa maji baridi ya kunywa, kupikia na kadhalika, hawa hawakuvumbua kitu chochote ila wametumia uvumbuzi ulokuwepo kukidhi mahitaji yao na ndio tunaona hizo Prosperity..
Uvumbuzi wa vifaa vingine vyote vya kuvuta maji vimetokana na MAHITAJI na ndio unakuta wachumi wakituletea mahesabu ya Supply and Demand..ni katika mfululizo wa mahitaji ndio unakuta watu wakivunja vichwa kutafuta uvumbuzi.. Kwa mfano leo hii ukivumbua dawa ya kuondoa Vipara, hakika utatengeneza mivanda kichizi..lakini kaa utapandikiza nywele haiwezi kuwa uvumbuzi labda niseme ni umevumbua solution ya kipara chako mwenyewe.

Yeah you are sure but wrong. Ukishafikia kwenye jamii yenye maendeleo na division of labour, kutatokea watu wenye kuumiza vichwa vyao kutafuta innovations ambazo zitaleta faida na ku-keep professions zao alive.

Lakini mkiwa kwenye jamii ambayo wote mnafanya kazi ya kuteka maji pamoja tena kiujamaa, nobody would put his efforts to thinks.

Waarabu wanabadilisha maji ya chumvi sio kwa kutumia innovation zao, bali wana-leap flog kwa kutumia mafuta. Na watanzania mkitumia dhahabu ku-leap flog mtaweza lakini greedy imezidi.
 
Bhagosha,

Mimi naomba mtu wekeee hata machache muhimu kuhusu Azimio La Arusha kwani ndilo litakao wafungua UVCCM na kujua wapi wanakwenda maana wao ndio wanaojidai kuwa wanaandaliwa kwa ajiri ya leo na kesho na je watapenda kukufufuliwa kwa Azimio la Arusha kama ilivyo EAC????

Jethro:

Kuna vitu vingine vinatakiwa kwenye moyo na sio lazima kuandikwa kwenye vitabu.

Wahehe walipokuwa wanapigana na wajerumani hawakujua kusoma wala kuandika. Hawakuwa na Azimio lolote la Arusha, lakini they knew what they were fighting for. You can't put a good fight, if you are unmotivated.
 
Back
Top Bottom