Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,146
- 137,090
Jinsi tunavyoboronga, kwa upande wangu nafikiri Economic Prosperity is the mother of inventions. Matatizo tuliyonayo na resources zilizokuwepo, tungetalajiwa kufanya inventions za maana. Lakini hakuna kinachoendelea zaidi ya longolongo.
Unajua wazungu wana msemo wao mmoja usemao Success breeds more success...kwa hiyo nadhani uko sawa kabisa kuwa economic prosperity can fuel invention and innovations.
Sisi ni longolongo tu na kuiga iga tu. Eti bongo siku hizi wanasherehekea Haloween. Muda si mrefu wataanza kusherehekea Thanksgiving.....wee subiri tu.