Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,176
- 143,958
Jinsi tunavyoboronga, kwa upande wangu nafikiri Economic Prosperity is the mother of inventions. Matatizo tuliyonayo na resources zilizokuwepo, tungetalajiwa kufanya inventions za maana. Lakini hakuna kinachoendelea zaidi ya longolongo.
Jinsi tunavyoboronga, kwa upande wangu nafikiri Economic Prosperity is the mother of inventions. Matatizo tuliyonayo na resources zilizokuwepo, tungetalajiwa kufanya inventions za maana. Lakini hakuna kinachoendelea zaidi ya longolongo.
Na wewe taja nchi mmoja iliyoendelezwa bila kutumia Dira...
1. Dira ya Ufaransa - The Declaration of Man, Assimilation Policy etc
2. Dira ya Marekani - The Independence Declaration, The New Deal etc
Does that nullify the need to have a dira, a succesful one for that matter, as your pal Zakumi insist?
Toa evidence, ni economic prosperity gani iliyomfanya Marie Curie avumbue radiation ya polonium au Archimides atoke uchi anaimba Eureka?
Toa evidence, ni economic prosperity gani iliyomfanya Marie Curie avumbue radiation ya polonium au Archimides atoke uchi anaimba Eureka?
Pengine hakuwa na njaa wala kuwaza kesho yake atakula nini. Msosi ulikuwepo bwelele. Alikuwa na makazi yaliyo comfortable...hakung'atwa ng'atwa na mbu...etc
Uwingi wa chakula ni ishara ya prosperity. Huwezi ukawa na prosperity wakati watu wanakula mlo mmoja kwa siku.
Mimi juzi nimechoma minyama kibao hadi mingine nimetupa. Hiyo ndo prosperity bana...
Alafu ukavumbua nini baada ya 'njaa ni mwana malegeza na shibe ni mwana malevya'?
There you go again. Marie Curie alipokuwa anafanya researchies zake, jumuia yake iliweza kumlipa mapato ambayo yalimwezesha kufanya kazi zake bila kutegemea income au longolongo ya vitu vingine.
Angekuwa Tanzania ingebidi alime mchicha, akasombe kuni, alee watoto 8. je muda angeupata wapi?
Eeeeeh bwana wee hii kali duh! kweli lakini Julius ni Miafrika kama sisi hivyo baada ya kushiba na kutupa minyama alikwenda tafuta bia yake mchezo umekwisha..hakuna cha Ubunifu wala uvumbuzi.Alafu ukavumbua nini baada ya 'njaa ni mwana malegeza na shibe ni mwana malevya'?
Wewe Zakumi wewe hivi umesahau wanafunzi wa chuo wa enzi za Nyerere walivyokuwa wanakula na kusaza pale cafeteria mpaka masalo aliokuwa anawakimbia Julius walivyokuwa wanakuja kujipakulia masazo?
Mijamaa ilikuwa inakula kwa koponi na kununua vitu bwelele kwa koponi!
Eeeeeh bwana wee hii kali duh! kweli lakini Julius ni Miafrika kama sisi hivyo baada ya kushiba na kutupa minyama alikwenda tafuta bia yake mchezo umekwisha..hakuna cha Ubunifu wala uvumbuzi.
Aaah sasa siyo lazima mimi nivumbue kitu. Siyo kila mtu ni mvumbuzi. Kwani wewe umewahi kuvumbua nini zaidi ya kuanzisha kibulogu chako?
Badala ya kutupa hiyo minyama labda unaweza kutengeneza nyama kavu, mbolea au kitu chochote ukauza kwa Miafrika..Oh yeah...baada ya kusaza minyama nikakamua Heineken....wewe ulitaka nikavumbue nini baada ya hapo?
Zakumi,
shukran umerudi bado nikiwa hapa... leo siondoki hadi tumemaliza dsomo zima..Nitakufahamisha vizuri kuhusu Ujamaa achana na hizo habari za Ucommunist na forged idealogy ambayo hailingani na sisi. na nitakujibu ppasipo kuongeza swali juu ya swali kama unavyofanya wewe na wadanganyika wengine.
Ujamaa ulikuwa unalenga nini?
Kwanza sii kweli kuwa Ujamaa ni Maisha ya Waafrika - laa hasha, sii kweli na ndio maana huelewi maana hadi leo..
Mkuu wangu, UJIMA ndio maisha ya waafrika yaani WATU, kwa lugha yenu wanaita Collective work and Responsibility..Na ndio msingi wa maisha ya mwafrika karne na karne.
Ujamaa ni a comlete package Unalenga MAZINGIRA tunayoishi..Ni mazingira yapi tunayotakiwa kuishi hivyo kutuwezesha kwenda mbele tukilinda ardhi yetu, wazawa, maliasili zetu, rasilimali zetu, culture na kadhalika.
Kwa hiyo kila nchi inajitengenzea Mazingira kulingana na watu wake na ni katika kutazama Principals za mfumo mzima ndipo unapoweza kusema huu ni Ujamaa. tatizo lenu wengi hapa mnatazama mambo madogo ambayo kweli yanaweza kuwa muhimu lakini hata yasipokuwepo maadam principal bado zipo hayawezi kubadilisha dira nzima ya wahusika.
Badala ya kutupa hiyo minyama labda unaweza kutengeneza nyama kavu, mbolea au kitu chochote ukauza kwa Miafrika..
Angeweza hata kuvumbua mashine ya kuzi-recycle au kuzi-preserve further!
Wewe Zakumi wewe hivi umesahau wanafunzi wa chuo wa enzi za Nyerere walivyokuwa wanakula na kusaza pale cafeteria mpaka masalo aliokuwa anawakimbia Julius walivyokuwa wanakuja kujipakulia masazo?
Mijamaa ilikuwa inakula kwa koponi na kununua vitu bwelele kwa koponi!