Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

Azimio la Arusha: Kuzaliwa upya?

Mwanafalsafa,
Hujanijibu kabisa.. nimeuliza Social democratic countries (left wing) ni Socialist.. umesema hapana, na umekuja na tafsiri ya mwandishi!

Kifupi ni hivi mkuu wangu Socialism ni ideology sii nchi hata kidogo...Na viongozi wote duniani wametumia ideology hizi kwa marekebisho kulingana na WATU na MAZINGIRA yao..Kweli failure zimetokea ktk mfumo huu lakini pia kuna nchi kibao za Ulaya ambazo zilifanikiwa ikiwa ni pamoja na France na hata UK kwa sababu itikadi hii ilipewa sura mpya ya reformism pasipo kupoteza maana ya Socialism.

Ukitazama Marekani, chama cha Democratic wanafuata principal za Kijamaa kisiasa na Republican ni upande wa pili wa mtazamo huo..hivyo huwezi kusema kwamba leo hii Marekani au UK ni Socialist country kwa sababu tu wanafuata baadhi ya mambo ya Kisocialist..Na ndivyo sababu zinazokupa wewe kusema Sweden na nchi za Nordic sio Socialist kwa sababu wanafuata baadhi ya mambo ya Kibepari.

sasa kuwa mkweli, ikiwa unakubali Sweden sio Socialist kwa sababu wanafuata baadhi ya mambo ya kibepari then kubali pia Marekani (under Democratic) na UK (under labour) sio mabepari kwa sababu wanafuata baadhi ya mambo ya Kisocialist.

Mkuu wangu, kosa kubwa ambalo limefanyika Tanzania na mimi naamini kabisa kuwa limefanywa makusudi ni kutangazwa kwa Azimio la Zanzibar. Azimio hili lilitangazwa mwaka mmoja tu kabla ya kuundwa kwa vyama vingi wakati hilo Azimio pekee ni ideology by itself pamoja na kwamba lina makosa mengi tu.. moja kubwa ni kuwa azimio la Kitaifa ambalo litavunja nguvu ya ideology yoyote ile pinzani.

Nchi nyingi za magharibi baada ya kutokubaliana na mfumo mmoja uwe wa kijamaa au Kibepari wao waliunda chama chenye mtazamo tofauti Kisiasa (Primary in Political term not economical) pasipo kubadilisha principal za0 ambayo ndio tunaita DIRA ya Taifa iwe Ujamaa au Ubepari..na ndipo ushindani ulipoanza baina ya nguvu hizi mbili lakini sivyo ilivyotokea kwetu. CCM wenyewe wakasilimu dini kutokana na ugumu wa maisha hali hawakuwa na elimu pinzani ya mfumo au imani walioijenga wao..
Hivyo maadam CCM ilikuwa chama chenye imani ya Kijamaa (Socialism) ilitakiwa kiundwe chama kinachopingana na ideology ya mwalimu ili kuweka balance ya mirengo miwili pinzani pasipo kupoteza asili ya WATU wake na MAZINGIRA. Na bila shaka namuunga mkono Mwalimu kwa sababu sisi ni WAJAMAA kwa asili yetu tukigawana umaskini toka familia hadi falme na Mazingira yetu yangeongoza mfumo bora wa kiuchumi badala ya kudandia gari bovu la WB na IMF.
Tulishindwa wakati wa mwalimu kwa sababu hatukuwa na uwezo wala uzoefu wa biashara kubwa za kidunia ambazo ziliendeshwa na kundi dogo sana na matajiri. Mwalimu na wajamaa wengi (maskini jeuri) hufikiria Kwamba mtaji pasipo wafanyakazi hakuna uzalishaji wala utajiri, hivyo ni watu wanaojenga uchumi (Political action to define Ecomony terms)..wakati Mabapari wao hufikiria pasipo tajiri, Uwekezaji, ajira na hata maendeleo ya watu hayawezi patikana.(Economic over Political)

Ni vita ya kisiasa ambayo impact yake ni kwa wananchi, Na tulichoweza jifunza ktk historia yetu ni kwamba huwezi shindana na matajiri hata siku moja.. itachukua imani ya dini kuushinda Ubepari lakini sii siasa za Ujamaa hizo za usawa wa binadamu wote hali hatuko sawa kwa maumbile, kima cha mahitaji na hata matamanio..Kila binadamu ni mbinafsi kwa kipimo chake lakini sote tunasukumwa na nguvu hizi mbili za kiitikadi..Huwezi kuwa kati hata siku moja, ila unawezakuwa kati upande mmoja badala ya kuwa extremist... Huwezi kuwa Muislaam na ukawa Mkristu at the same time ila unaweza fanya mambo ambayo yanakubalika ktk Ukristu au Muislaam moderate lakini siii kinyume kama ilivyo Bongo ya leo..
Hvyo, kurudishwa kwa Azimio la Arusha haina maana tutarudi kule kule kwa mwalimu, hapana ni kutuweka watu katika imani ili tupate dira ya kule tuendako. sasa hivi sisi ni kama Makafir, hatuamini Mungu yupo lakini tukipatwa na adha kidogo wepesi wa kulia Mungu wangu mbona unatutupa!

Hivyo mimi naukaribisha kabisa Ujamaa kwa misingi ya dira kulingana na WATU na MAZINGIRA yetu..As a fact Usocialism wa kiafrika unatafsirika vizuri kama ndio Conservative kisiasa kwani ukitazama UZAWA utaona upo ktk Ujamaa wetu na Conservative lakini haukubaliki ktk Socialist wa Nchi za magharibi. we have lost our identity, culture (WATU) and independence (Maizingira), sijui Watanzania ni watu gani na hata tumefikia kubishana kama Zanzibar ni nchi au taifa.

Leo hii tunauza nchi, tunakaribisha wageni wawekezaji kwa kulipa ruzuku ya asilimia 3, mkuu wangu kama kweli tungekuwa na Conservative na Mapebari wa kikweli sidhani kama utawala wa CCM ungekuwepo madarakani.
 
watu hawagopi biblia wala quran ndio liwe azimio la arusha, musoma, sijui wapi
 
Mkandara hiyo posti nimeikubali, imekwenda shule. Natumai Zakumi ataweka pembeni chuki binafsi dhidi ya Azimio na kulitafakari kwa kina na hatimaye kuona umuhimu wa kulirekebisha na kulitumia. Kwa sasa hakuna kabisa Dira. Hebu isome Ripoti hii ya Serikali ijulikanayo kama Poverty and Human Development Report 2007 (PHDR 2007):

The Tanzania Development Vision 2025 established the broad parameters and direction for national growth. The five-year MKUKUTA strategy (2005-2010) is narrower in focus – and an improvement over the Poverty Reduction Strategy (2000-2004) – yet it is still too broad. Both Vision 2025 and MKUKUTA have each separately and collectively contributed to growth and improved service provision but their impact has been limited. Therefore, a strongly focused and consistent national strategy that is also highly operational is needed (URT 2007: 93)

Yes indeed, a refurbished Arusha Declaration that is highly operational is needed!
 
Mkandara:

Wewe, Nyerere na ndugu yako Companero mnafanya utapeli wa intellectual kwa kudai kuwa maisha yetu ni ya kijamaa.

Maisha yalikuwa ya kijima na yasiotumia transaction ya pesa (currency) yoyote. Hivyo katika maisha kama haya, transactions za kiuchumi zilifanyika kwa mashirikiano zaidi. Na mnakosea sana mnapoyafanya haya mashirikiano kuwa ni ujamaa.

Miaka ya hivi karibuni tunaona jinsi modernity inavyofanya mwafrika kuachana na hayo mashirikiano.
 
Companero,
Mkuu wangu toka wameanza hii mipango ya Mkukuta hatujapiga hatua hata moja zaidi ya kupata shibe ya siku. Tatizo kubwa la mikakati yote ya vyanzo hivi ni kwamba inalenga kuwapa maskini samaki badala ya kuwafundisha kuvua samaki.. mipango yake haina tofauti kabisa na NGOs i.e Red Cross..
 
Mkuu reality haina Utapeli katu, haya nambie hayo maisha yasiyo kuwa na transaction ya pesa yalikuwepo mwaka gani vile?.. ebu nikumbushe kwanza kisha tutaendelea.
 
Kwa ujamaa ulikuwa unalenga nini?? Ujamaa ni ponzi scheme, Rob Peter to pay Paul.
 
Mkuu reality haina Utapeli katu, haya nambie hayo maisha yasiyo kuwa na transaction ya pesa yalikuwepo mwaka gani vile?.. ebu nikumbushe kwanza kisha tutaendelea.

Hakuna reality. Ni utapeli ambao umerudiwarudiwa kwa muda mrefu na kufanya watu kama nyinyi kuamini.

Eti ujamaa ni maisha ya kiAfrika. Toka lini? WaAfrika wa vijijini walishirikiana kwa sababu ya umasikini. Lakini walipopata nafasi wameonyesha greedy kama binadamu wengine.
 
Mkandara hiyo posti nimeikubali, imekwenda shule. Natumai Zakumi ataweka pembeni chuki binafsi dhidi ya Azimio na kulitafakari kwa kina na hatimaye kuona umuhimu wa kulirekebisha na kulitumia. Kwa sasa hakuna kabisa Dira. Hebu isome Ripoti hii ya Serikali ijulikanayo kama Poverty and Human Development Report 2007 (PHDR 2007):

The Tanzania Development Vision 2025 established the broad parameters and direction for national growth. The five-year MKUKUTA strategy (2005-2010) is narrower in focus – and an improvement over the Poverty Reduction Strategy (2000-2004) – yet it is still too broad. Both Vision 2025 and MKUKUTA have each separately and collectively contributed to growth and improved service provision but their impact has been limited. Therefore, a strongly focused and consistent national strategy that is also highly operational is needed (URT 2007: 93)

Yes indeed, a refurbished Arusha Declaration that is highly operational is needed!

Nitajie nchi moja iliyoendelezwa kwa kutumia dira. Jibu hakuna. Hivyo kutokuwepo kwa dira nchini Tanzania sio kizuizi cha maendeleo.

Kizuizi cha maendeleo anacho Nyani Ngabu.
 
Mkandara:

Wewe, Nyerere na ndugu yako Companero mnafanya utapeli wa intellectual kwa kudai kuwa maisha yetu ni ya kijamaa.

Maisha yalikuwa ya kijima na yasiotumia transaction ya pesa (currency) yoyote. Hivyo katika maisha kama haya, transactions za kiuchumi zilifanyika kwa mashirikiano zaidi. Na mnakosea sana mnapoyafanya haya mashirikiano kuwa ni ujamaa.

Miaka ya hivi karibuni tunaona jinsi modernity inavyofanya mwafrika kuachana na hayo mashirikiano.

Zakumi Umma haudanganyiki kirahisi hivyo. Mwalimu alikiri kabisa katika kile kijitabu chake cha Ujamaa na Maendeleo Vijijini (Socialism and Rural Development) kuwa mfumo ulikuwa ni Ujima hivyo tulikuwa tuna-upgrade kwa kutumia Ujamaa. He was original kwa kuamua kuuruka mfumo wa Ubepari wa Kimagharibu na Usoshalisti wa Kimashariki na kuja na modeli ya Kiafrika ambayo wewe na Hyden mnaiita The Economy of Affection.
 
Nitajie nchi moja iliyoendelezwa kwa kutumia dira. Jibu hakuna. Hivyo kutokuwepo kwa dira nchini Tanzania sio kizuizi cha maendeleo.

Kizuizi cha maendeleo anacho Nyani Ngabu.

Waambie hao! Watakaa waandike mimakala yao weeee....watakaa waanzishe mibulogu yao (iliyovumbuliwa na wazungu) lukuki. Lakini kama hauna kinachohitajika kuleta maendeleo, utakuwa unayasikia na kuyaona kwa wengine.

Necessity is the mother of inventions. Do we have have the need to invent?
 
Na wewe taja nchi mmoja iliyoendelezwa bila kutumia Dira...

1. Dira ya Ufaransa - The Declaration of Man, Assimilation Policy etc
2. Dira ya Marekani - The Independence Declaration, The New Deal etc
 
Lakini wenzenu walikuwa wanavumbua vitu hata kabla ya kuandika hizo mnazoziita dira. Dira hazisababishi uvumbuzi. Kinachosababisha uvumbuzi ni shida, mahitaji, na uwezo. Hata hizo dira zinaandikwa kutokana na kulingana na mahitaji na uwezo vilevile.
 
Zakumi Umma haudanganyiki kirahisi hivyo. Mwalimu alikiri kabisa katika kile kijitabu chake cha Ujamaa na Maendeleo Vijijini (Socialism and Rural Development) kuwa mfumo ulikuwa ni Ujima hivyo tulikuwa tuna-upgrade kwa kutumia Ujamaa. He was original kwa kuamua kuuruka mfumo wa Ubepari wa Kimagharibu na Usoshalisti wa Kimashariki na kuja na modeli ya Kiafrika ambayo wewe na Hyden mnaiita The Economy of Affection.

Na kitendo cha kuruka mifumo mingine ni ku-commit intellectual fraud. Na matatizo yake yanajionyesha kwa viongozi wetu wa sasa. Wana-elimu lakini hawana exposure yoyote na matokeo yake hawana tofauti na illiterates.
 
Zakumi,
shukran umerudi bado nikiwa hapa... leo siondoki hadi tumemaliza dsomo zima..Nitakufahamisha vizuri kuhusu Ujamaa achana na hizo habari za Ucommunist na forged idealogy ambayo hailingani na sisi. na nitakujibu ppasipo kuongeza swali juu ya swali kama unavyofanya wewe na wadanganyika wengine.

Ujamaa ulikuwa unalenga nini?
Kwanza sii kweli kuwa Ujamaa ni Maisha ya Waafrika - laa hasha, sii kweli na ndio maana huelewi maana hadi leo..
Mkuu wangu, UJIMA ndio maisha ya waafrika yaani WATU, kwa lugha yenu wanaita Collective work and Responsibility..Na ndio msingi wa maisha ya mwafrika karne na karne.
Ujamaa ni a comlete package Unalenga MAZINGIRA tunayoishi..Ni mazingira yapi tunayotakiwa kuishi hivyo kutuwezesha kwenda mbele tukilinda ardhi yetu, wazawa, maliasili zetu, rasilimali zetu, culture na kadhalika.

Kwa hiyo kila nchi inajitengenzea Mazingira kulingana na watu wake na ni katika kutazama Principals za mfumo mzima ndipo unapoweza kusema huu ni Ujamaa. tatizo lenu wengi hapa mnatazama mambo madogo ambayo kweli yanaweza kuwa muhimu lakini hata yasipokuwepo maadam principal bado zipo hayawezi kubadilisha dira nzima ya wahusika.
 
Lakini wenzenu walikuwa wanavumbua vitu hata kabla ya kuandika hizo mnazoziita dira. Dira hazisababishi uvumbuzi. Kinachosababisha uvumbuzi ni shida, mahitaji, na uwezo. Hata hizo dira zinaandikwa kutokana na kulingana na mahitaji na uwezo vilevile.

New Deal ya Delano Roosevelt ilitokana na shida ya Maspeculator kama ambavyo Azimio la Arusha la Kambarage Nyerere lilivyotokana na shida ya Wabenzi!
 
Tofauti ni kwamba New Deal ilikuwa na mafanikio wakati Azimio la Arusha lilikuwa a miserable failure!! Next....
 
Zakumi,
shukran umerudi bado nikiwa hapa... leo siondoki hadi tumemaliza dsomo zima..Nitakufahamisha vizuri kuhusu Ujamaa achana na hizo habari za Ucommunist na forged idealogy ambayo hailingani na sisi. na nitakujibu ppasipo kuongeza swali juu ya swali kama unavyofanya wewe na wadanganyika wengine.

Ujamaa ulikuwa unalenga nini?
Kwanza sii kweli kuwa Ujamaa ni Maisha ya Waafrika - laa hasha, sii kweli na ndio maana huelewi maana hadi leo..
Mkuu wangu, UJIMA ndio maisha ya waafrika yaani WATU, kwa lugha yenu wanaita Collective work and Responsibility..Na ndio msingi wa maisha ya mwafrika karne na karne.
Ujamaa ni a comlete package Unalenga MAZINGIRA tunayoishi..Ni mazingira yapi tunayotakiwa kuishi hivyo kutuwezesha kwenda mbele tukilinda ardhi yetu, wazawa, maliasili zetu, rasilimali zetu, culture na kadhalika.

Kwa hiyo kila nchi inajitengenzea Mazingira kulingana na watu wake na ni katika kutazama Principals za mfumo mzima ndipo unapoweza kusema huu ni Ujamaa. tatizo lenu wengi hapa mnatazama mambo madogo ambayo kweli yanaweza kuwa muhimu lakini hata yasipokuwepo maadam principal bado zipo hayawezi kubadilisha dira nzima ya wahusika.

Naam umelenga hapo kwenye 'misingi'/'kanuni' ndio maana mpaka kesho wenzetu wana misingi waliyoijenga toka enzi za Jefferson, Washington na Lincoln...

Nchi haiwezi kuendelea bila misingi/kanuni inayosimamia uendeshaji - na ndio maana Nyerere alitabiri kuwa tutarudi kwenye misingi/kanuni za Ujamaa...
 
Waambie hao! Watakaa waandike mimakala yao weeee....watakaa waanzishe mibulogu yao (iliyovumbuliwa na wazungu) lukuki. Lakini kama hauna kinachohitajika kuleta maendeleo, utakuwa unayasikia na kuyaona kwa wengine.

Necessity is the mother of inventions. Do we have have the need to invent?

Jinsi tunavyoboronga, kwa upande wangu nafikiri Economic Prosperity is the mother of inventions. Matatizo tuliyonayo na resources zilizokuwepo, tungetalajiwa kufanya inventions za maana. Lakini hakuna kinachoendelea zaidi ya longolongo.
 
Tofauti ni kwamba New Deal ilikuwa na mafanikio wakati Azimio la Arusha lilikuwa a miserable failure!! Next....

Does that nullify the need to have a dira, a succesful one for that matter, as your pal Zakumi insist?
 
Back
Top Bottom