Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
Pia wanaonyesha, Laliga, series A, championship, FA game zote, caf matches, na Carabao pia. Na league nyingine ndogondogo Jamaa wanahitaji pongezi 23,000Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
Kwa kuanzia inatoshaHizo freegame kila wkend..wanalipa kias kidogo tu cha pesa ndio maana wanaonyesha utv
Haiwezekani kamweMwanzo mzuri, wakipata viewers wengi wanaweza kupata leseni kwa nchi za Afrika Mashariki.
1 tu tena wanatoa KFSWanapewa mechi 1 au mbili na mara nyingi zitakuwa za saa 11 au 12 jioni, zile big mechi wanaweza kunyimwa
Serie A azam inaonyeshwa na Tv ya Italia tena moja moja.Pia wanaonyesha, Laliga, series A, championship, FA game zote, caf matches, na Carabao pia. Na league nyingine ndogondogo Jamaa wanahitaji pongezi 23,000
Hawa Jamaa Afrcon Walituuza,hawa hawa walioshindwa kuonesha AFCON??
Uholanzi, Rwanda, ubeligiji, Scotland, uturuki, mls ya marekani etcSerie A azam inaonyeshwa na Tv ya Italia tena moja moja.
Championship inaonyeshwa na Fox sports ambayo hivi sasa inabadilishwa jina kuwa ESPN Africa.
.
Ligi gani nyingine ndogondogo wanaonyesha utujuze?
Pia wanaonyesha, Laliga, series A, championship, FA game zote, caf matches, na Carabao pia. Na league nyingine ndogondogo Jamaa wanahitaji pongezi 23,000
Sasa hizo zote ukitoa ya Rwanda si zinarushwa na FOX Sports Africa 1&2 ambayo hivi sasa inaenda kuitwa ESPN Africa ambayo iko kwenye kila kisimbuzi.Uholanzi, Rwanda, ubeligiji, Scotland, uturuki, mls ya marekani etc