Azam yatua EPL

Hichilema

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
1,034
934
Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
 
Hizo freegame kila wkend..wanalipa kias kidogo tu cha pesa ndio maana wanaonyesha utv
 
Wanapewa mechi 1 au mbili na mara nyingi zitakuwa za saa 11 au 12 jioni, zile big mechi wanaweza kunyimwa
Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
 
Kwa taarifa zilizopo ni kwanza AZAM TV itaanza kuonesha ligi kuu ya Uingereza (EPL) kuanzia kesho jumamosi tarehe 31/8/2019 kupitia Azam UTV. Wanaanza na mechi ya Chelsea vs Sheffield united
Pia wanaonyesha, Laliga, series A, championship, FA game zote, caf matches, na Carabao pia. Na league nyingine ndogondogo Jamaa wanahitaji pongezi 23,000
 
Mwanzo mzuri, wakipata viewers wengi wanaweza kupata leseni kwa nchi za Afrika Mashariki.
 
Wanasababisha nimenunua kung'angana chao na kukiuza baada ya miezi miwili tu sababu hawana jipya hasa kuliko toleo lao la mwanzoni kabisa nililokaa na TV yao zaidi ya miaka mi4 ilikuwa nzuri sana kuliko hii ya hivi karibuni.
 
Itakuwa ngumu kuonyesha zile mechi za Super Sport 3.

Itakuwa zile za timu za kuanzia nafasi ya 6 hadi chini. Labda siku moja moja tutaona Man City, Liver, Tottenham, Arsenal vs vibonde.
 
Pia wanaonyesha, Laliga, series A, championship, FA game zote, caf matches, na Carabao pia. Na league nyingine ndogondogo Jamaa wanahitaji pongezi 23,000
Serie A azam inaonyeshwa na Tv ya Italia tena moja moja.
Championship inaonyeshwa na Fox sports ambayo hivi sasa inabadilishwa jina kuwa ESPN Africa.
.
Ligi gani nyingine ndogondogo wanaonyesha utujuze?
 
Uholanzi, Rwanda, ubeligiji, Scotland, uturuki, mls ya marekani etc
 
Ongeza na USA Major League Soccer ya akina BOJAN na BACARY SAGNA! Pia BELGIUM LEAGUE kwa Captain Mbwana
Pia wanaonyesha, Laliga, series A, championship, FA game zote, caf matches, na Carabao pia. Na league nyingine ndogondogo Jamaa wanahitaji pongezi 23,000
 
Uholanzi, Rwanda, ubeligiji, Scotland, uturuki, mls ya marekani etc
Sasa hizo zote ukitoa ya Rwanda si zinarushwa na FOX Sports Africa 1&2 ambayo hivi sasa inaenda kuitwa ESPN Africa ambayo iko kwenye kila kisimbuzi.
.
MLS ndio angalau inaonyeshwa mechi nyingi na hii huwezi kuifatilia mechi zake nyingi ni kuanzia saa saba usiku hadi alfajili.
.
Kwa hiyo ndio kitu cha kuwapongeza Azam au hujui kuwa hizo ESPN Africa zipo kila kisimbuzi?
 
Back
Top Bottom