Azam yatua EPL

M

MaxMase

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2008
Messages
664
Points
1,000
M

MaxMase

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2008
664 1,000
Mbona wametoa matangazo UTV mpira ulipotaka kuanza tu?kama kuna mashart ili mtu uone mechi wangetuambia sasa niko home hata namna ya kutoka kuangalia game vibandani nashindwa
Wako live mbona
 
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,587
Points
2,000
Khaligraph Jordan

Khaligraph Jordan

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,587 2,000
Unamaanisha AZAM inajiunga na KFS kuonyesha game?
Yes, hujaona leo mechi imeanza tu wakafanya yao?
.
Wenye mchezo wa kutoa mechi moja moja ni Kwése
 
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
2,666
Points
2,000
F

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
2,666 2,000
polepole ndio mwanzo
 
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
1,341
Points
2,000
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
1,341 2,000
Unamjua mmliki wa kampuni ya multichoice ?huyu ana hela nyingi sana+mmliki wa supersport anahela nyingi sana na Wote pia wanmiliki timu lakin supersport united ipo juu ya azam mara 7.
AZAM ana biashara nyingi ko lazima abalance lakin wao multichoice wamejikita kwenye media
Dstv anamtaji kiasi gani kiasi cha kumfanya Azam media (Bakhressa) kuwa mdogo sana kwake? Nielimishe mkuu..
 
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
1,341
Points
2,000
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
1,341 2,000
99 elfu pamoja na ya fundi.lakin kama wewe mwenyeww fundi ni 79,000 tu.
Kuweka rekodi sawa, Dstv hawaonyeshi Bundesliga na King'amuzi chao kwasasa ni 99,000/=
 
H

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
513
Points
500
H

Hichilema

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
513 500
Naona jamaa wamepania kuonesha EPL wiki hii kama kawa
 

Forum statistics

Threads 1,336,600
Members 512,670
Posts 32,544,869
Top