Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,081
Kila mtu ana namna hasi kwenye perceiption ya vitu...sioni ulazima wa tahadhari kwa Wakristo kuhusu bidhaa tajwa ikiwa hakuna proof kwamba uwepo wa viashiria ulivyovitaja una athari kwa mtumiaji!..
Sijaona hoja ya kunishawishi. Bado nitaendelea kuwataahalisha wenzangu mimi wasitumie vinywaji hivyo. Fumbo mfumbie mjinga... Kumbuka hatuko nchi ya kiarabu hapa. Tuko Tanzania. Mie sio mdini mdini ni aliyeweka udini kwa kitu ananiuzia!
Kaa mbali na vinywaji vya Bakresa.

Ila ukinunua simu za kichina ambazo baadhi zina herufi za kiarabu kwenye keypad huoni tabu au ukipanda fly emirates au qatar airways ambazo ubavuni zimeandikwa kiarabu kwako sio tatizo au nazo utazikwepa?acha udini na usiharibu biashara za watu ametumia nguvu,hela na muda wake mwingi kufika hapo alipo usimuharibie bila ya sababu za msingi
hakuna aliye lazimishwa Anunue hizi bidhaa. hawa jamaa ni wadini sijapata kuona. tengeneza vyako uweke msalaba.
yeye hajaongelea lugha bali ameongelea msikiti. mia
c lazima upost kama huna la maana nyie ndio mliokimbia makanisa ya maana mkafata viini macho uko mitaani sasa hamjitambui manake mmetoa sadaka mpaka mmeshafilisika huku wenzenu wakitembelea ma vogue na ma hammer poor uuu.Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina!
Naomba nieleweke kwamba lazima masuala ya dini yasiwe labeled kwenye vyakula au vinywaji.
Kwa nafasi hii napenda kuwatadharisha wakristo kuwa waangalifu wanunuapo na kutumia vinywaji hivi vya azam na pia toa tahadhali kwa wenzako kuviepuka vinywaji hivi. Ununuapo kinyaji cha azam chunguza label yao. Msikiti na maneno ya kiarabu wameweka kipicha kidogo sana ili kuwa blind watu wasione vizuri.
Kwa sababu nasema ukweli sintajali hata kama mtaniona mdini maana udini kaanzisha yeye aliyeweka label.
Sio lvbel tu. Niliwahi kuona wakitangazia bidhaa yao kwenye TV kwamba ukesha kunywa ndio unapata uwezo wa kujenga msikiti. Jamaa anatumia didni yake kufanya biashara zake. Ladba haataki wasio wa dini yao wasitumie.
Jamani kwa muda sasa nimekuwa nikishangaa kwa nini Bhakresa kaamua kuweka nembo zenye picha za msikiti na maneno ya sara za kiarabu kwenye label za vinywaji vyake? Nilikuwa naona zile Azam Malt, vile vichupa vidogo vya mango na leo nimeona kwenye soda ya azam soda nanasina!