vp ball possession jmn.nani yuko juu?
Yanga waliweka kambi wapi??
Kusema kweli yanga wamewazidi azam kwa kila kitu isipokuwa magoli tu
Nadhani waliweka kambi huko Katavi au Sumbawanga
acha kutudanganya
Kusema kweli yanga wamewazidi azam kwa kila kitu isipokuwa magoli tu
ok wewe mtazamo wako ni upi?