Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Bocco KATIBUA nini?
John Bocco ndio kafunga goal la pili la Azam. Kaingia tu na kufunga.
Last edited by a moderator:
Bocco KATIBUA nini?
Kafanyajeee ah. Ungekuwa karibu ningekupiga ngumi.
Huyu refarii si amalize mpira maanake sioni dalili za hawa lambalamba kupata goli, tena wanaweza pigwa nyingi
hahahaaah,,,,kwa nini??
Amri Kiemba na Bocco kidogo wameleta uhai
ndio uwezo wake huo..Danny MRWANDA yeye na nyavu anakosa goli
Danny Mrwanda sijui ana matatizo gani na miguu yake, lazima apaishe. Bora atoke tu
Bocco kafunga goal zuri sana
we need to score more more sasa..
mmmmmmmmhhhhhhhh khee!
Danny Mrwanda sijui ana matatizo gani na miguu yake, lazima apaishe. Bora atoke tu