Azam vs yanga updates

Azam vs yanga updates

Mkuu lakini yang a keshafungwa tayari na mpira ni magoli.

hawajafungwa. Nasikia ngoma ni mbili mbili. Hivyo hakuna mbabe. Ndo maana nikamwambia kuwa kati ya Azam na Yanga hakuna mbabe
 
Asanteni wote mliokuwa nasi uwanjani na ktk tv mkitupa updates.....
 
nawauliza wadau kama mliona vizuri mpira bila makengeza lile goli aliejifanya mwadini kaumia baada ya goli kuingia ni goli au sio goli
 
Nilivyosikia Yanga wameupiga mpira mwingi mno,dk za mwisho azam walikuwa wanautafuta kwa karabai
 
nawauliza wadau kama mliona vizuri mpira bila makengeza lile goli aliejifanya mwadini kaumia baada ya goli kuingia ni goli au sio goli

Mpira Uliingia Wavuni Ila Refa Alikataa Mapemaaaa!
 
Matokeo ya leo kati ya Azam na Yanga ni mazuri sana kwa Simba kwa vile yanaacha pengo dogo la point 5 tu kati yake na hizi timu mbili na uwezekano wa kuzi-offset ni mkubwa kwani ligi hata nusu haijafika.
So, nawashangaa wanasimba wanaokata tamaa sasa na kuanza kulilia kichwa cha Phiri. Katika ligi hii hakuna kocha anayemzidi Phiri kiuwezo, huo ndiyo ukweli wenyewe.

Kwa upande wa Azam, kutokupata ushindi leo is a lost opportunity kwa sababu wamecheza na Yanga ambayo ni dhoofu (weakened). Ni dhoofu kwa sababu benchi la ufundi lote ni jipya na line up yao ilikuwa na wachezaji kadhaa wapya, so Yanga was there for the taking today but Azam let the chance slip!

Sina uhakika sana kama Azam watapata nafasi kama hii tena msimu huu dhidi ya Yanga kwani Yanga hii ikikaa pamoja kwa muda kidogo tu, itakuwa vigumu sana kwa timu nyingi kuisimamisha.

Mtibwa siwapi nafasi sana... I can see them fizzling out in the course of the season kwa vile hawana depth na pia hawawezi ku-handle pressure iliyopo kwenye run-in stage ya marathon league kama hii.

So, based on my very simple SWOT, msimamo wa top 3 utakuwa hivi mwishoni mwa ligi:

Bingwa: Azam (35%) / Simba (20%) / Yanga (45%)
2nd spot: Azam / Simba / Yanga
3rd spot: Azam / Simba / Yanga
 
Mbona karibia mafans wengi wa mikia fc wanafurahia sana sare waliyopata azam!!! au wana ndogo gan hawa watu???
 
nawauliza wadau kama mliona vizuri mpira bila makengeza lile goli aliejifanya mwadini kaumia baada ya goli kuingia ni goli au sio goli

Pale refa alifanya uamuzi kwa mazoea na isitoshe alikua mbali, lile ni goli la wazi kabisa.!
 
Matokeo ya leo kati ya Azam na Yanga ni mazuri sana kwa Simba kwa vile yanaacha pengo dogo la point 5 tu kati yake na hizi timu mbili na uwezekano wa kuzi-offset ni mkubwa kwani ligi hata nusu haijafika.
So, nawashangaa wanasimba wanaokata tamaa sasa na kuanza kulilia kichwa cha Phiri. Katika ligi hii hakuna kocha anayemzidi Phiri kiuwezo, huo ndiyo ukweli wenyewe.

Kwa upande wa Azam, kutokupata ushindi leo is a lost opportunity kwa sababu wamecheza na Yanga ambayo ni dhoofu (weakened). Ni dhoofu kwa sababu benchi la ufundi lote ni jipya na line up yao ilikuwa na wachezaji kadhaa wapya, so Yanga was there for the taking today but Azam let the chance slip!

Sina uhakika sana kama Azam watapata nafasi kama hii tena msimu huu dhidi ya Yanga kwani Yanga hii ikikaa pamoja kwa muda kidogo tu, itakuwa vigumu sana kwa timu nyingi kuisimamisha.

Mtibwa siwapi nafasi sana... I can see them fizzling out in the course of the season kwa vile hawana depth na pia hawawezi ku-handle pressure iliyopo kwenye run-in stage ya marathon league kama hii.

So, based on my very simple SWOT, msimamo wa top 3 utakuwa hivi mwishoni mwa ligi:

Bingwa: Azam (35%) / Simba (20%) / Yanga (45%)
2nd spot: Azam / Simba / Yanga
3rd spot: Azam / Simba / Yanga
Uchambuzi wako una kasoro ya kutoihusisha kabisa Mtibwa ambayo ina pengo la pointi nane dhidi ya Simba. Maana yake ni kwamba hata kama Simba itazifikia zote Azam na Yanga, bado itakuwa ni nyuma ya Mtibwa. Huenda sare ya leo ni mbaya zaidi kwa Simba kuliko kama timu mojawapo ingefungwa, kwa sababu hakuna kati ya hizo iliyopunguza pengo la pointi zake na Simba. Wenye uelewa wa hesabu za uwezekano (probability) watajua kwamba uwezekano wa Simba kufanya vizuri kuanzia sasa, huku Azam, Yanga na Mtibwa zote kwa pamoja zikifanya vibaya ni chini ya asilimia hamsini. Aidha, utabiri wako hauzizingatii kabisa timu kama Ruvu JKT na Coastal zilizo juu kwenye msimamo wa Ligi kuliko Simba. Ingawa zenyewe zinatofautiana na Simba kwa pointi kiduchu, uwezekano wa zote hizokufanya vibaya huku Simba pekee ikiendelea kufanya vizuri naoni mdogo pia. Ni kweli timu zote hizo zitapokutana zenyewe kwa zenyewe huwa zinaji-offset, lakini bado kufungwa kwa mmoja ni kushinda kwa mwenzake. Namna pekee ambayo Simba inaweza kupata nafasi za juu ni kwa mkono usioonekana kuingilia matokeo ya kila mechi ili yaisaidie Simba, mpaka itapofanikiwa kuingia kwenye kundi la watatu wa juu. Lisilowezekana kwa mwanadamu, kwa Mungu lawezekana.
 
Back
Top Bottom