Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Dakika ya 7 kipindi cha pili Yangaaaaaaaaaaaaaaaa 2 Oyeee
aiseee nyie...Azam wanapata adhabu jirani na lango la yanga lakini wanapoteza
aiseee nyie...
Azam wamepoteana
Gooooli msuva.
Hii gemu ni droo nishaona sasa,..
watarudi tu..Mbeya city 1-0 Ndanda mpira mapumziko
Gooooli msuva.
keep calm ninja hawa wetu tu..Huyu refarii si amalize mpira maanake sioni dalili za hawa lambalamba kupata goli, tena wanaweza pigwa nyingi