Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
997
Reaction score
2,320
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..
Hata ule waraka wa TEC kule Azam TV haukuguswa kabisa ..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe Active kuliko wakati mwingine wowote
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Haki haitangazwi, inajitangaza yenyewe
 
Let us not blame them. Their hands are tied.

Magonjwa Mtambuka

Nyau de adriz
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Baresa ni mmoja wao wa kundi la raia feki lenye ajenda ovu dhidi ya tanganyika ...ndiyo maana huku bara afanyi uwekezaji wowote isipokuwa uwekezaji wa kuchuma tu ....baresa ana magorofa kkoo toka yawe mali yake ajawai hata kuyapaka rangi zaidi ya miaka 25 yana hadi ukoko ...tatizo tanzania tunadhani kila mwekezaji ni mzalendo tunatakiwa kuinuwa wawekezaji wazawa wenye uzalendo .
 
Uchawa nje ya haki ni uhalifu ...kama mtu anavuka mipaka ya haki kwenye kufanya uchawa huyo ni muhalifu.
Mhm sio kwamba ni biashara ya mtu hiyo mkuu? Kwa sababu biashara na uchawa wa kimaslai ni ngumu kuvitenganisha.
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Kila chombo cha habari duniani kina mrengo. CBS na Fox News ni washabiki wa Trump. Washaurini wafuasi, washabiki na wafadhili wenu waanzishe vyombo vya habari kuliko kukaa na kulalamika wengine!
 
Aya ni malalamiko yasiyo na msingi wakati unajua hiyo ni media binafsi.Chadema ni chama kama cha watoto,ni kulaamika lalamika tu mitandaoni na mkitoa hoja bado nizamalalamiko.Punguzeni kulalamika mjenge chama imara chenye uwezo wakubattle katika mazingira yoyote kama kweli mnataka kuichalange ccm.Siasa sio kazi yamalalamiko nakukaa kinyonge wakati mnajua ccm nichama kongwe na kina mizizi kila mahali.Kama mnaona media zinawanyonnga hazisheni zakwenu mzipambanie ziwe media kubwa watu watawazingatia.
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
kuna Chombo cha Habari Tanzania hii ambacho hakiegemei CCM? hata humu kwa sasa post nyingi zinazo husu CCM zinapigwa pini, Jana nashangaa juna post yangu ilipigwa pini
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Nguvu ya umma ni kubwa kuliko hako ka tv kao
 
Back
Top Bottom