Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

Azam Tv nayo imegeuka Tawi la CCM !

Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Tatizo wanalo CDM wenyewe tangu mwanzo hawajaonyesha utayari wowote wakushika dola hatavkajijarida tu kakutoka mara moja kwa mwezi au wiki hawana. Wangehakikisha wana kajarida hata mara moja kwa wiki na wahakikishe wanasambaza kwenye matawi yao yote na kuuza 2000 mbili. Naamini habari zingekuwa zinawafikia wanachama wao wote
 
Nguvu ya umma ni kubwa kuliko hako ka tv kao
Hawa umma wala ubwbwa? Hii inawezekanaga Kenya mkuu wale wakiamua kususia Meeia wanasusia, Safaricom haitawasahau. Tanzania imejaaa wajinga.

Bongo kama Taifa limejaaa wajinga sana, huwez ukawa na Taifa limejaaa wajinga utegemeaa kuna vitu sereous vifanyike.
 
M
Aya ni malalamiko yasiyo na msingi wakati unajua hiyo ni media binafsi.Chadema ni chama kama cha watoto,ni kulaamika lalamika tu mitandaoni na mkitoa hoja bado nizamalalamiko.Punguzeni kulalamika mjenge chama imara chenye uwezo wakubattle katika mazingira yoyote kama kweli mnataka kuichalange ccm.Siasa sio kazi yamalalamiko nakukaa kinyonge wakati mnajua ccm nichama kongwe na kina mizizi kila mahali.Kama mnaona media zinawanyonnga hazisheni zakwenu mzipambanie ziwe media kubwa watu watawazingatia.
Edia binafsi ikiunga mkono chadema kama inavyo fanya Azam ingeachwa na serikali pbavu ya ccm?tujibu
 
Hela za mishahara tu hamna, za online tv mpate wapi
 
Bakhresa Group ina udini sana na uzenji mwingi.

Ameshachagua kuside na wenye mamlaka

Ni kweli UDINI umejaa Bakhresa group na ukitaka kujua hili Nenda Mzani wowote wa barabarani uone majina ya madereva anaowaajirika karibu wote Ni akina Mohamed, Hamid, Juma etc
Na kwa UDINI huohuo hawezi wakakwepa ndururu iliyosambazwa na mtoto wa mama kwa sababu tayari wenzao crown, cloud, wasefi etc walishameza na kusahau
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Hila zote zitashindwa hadi hapa ilipofika main stream media hawatoi airtime kubwa ya No reform No Election lakini ujumbe unafika hadi chini ndio mana wanatumia nguvu kubwa kushindana nayo na watashindwa
 
Ni kweli UDINI umejaa Bakhresa group na ukitaka kujua hili Nenda Mzani wowote wa barabarani uone majina ya madereva anaowaajirika karibu wote Ni akina Mohamed, Hamid, Juma etc
Na kwa UDINI huohuo hawezi wakakwepa ndururu iliyosambazwa na mtoto wa mama kwa sababu tayari wenzao crown, cloud, wasefi etc walishameza na kusahau
Nenda ferry kwenye vivuko wafanyakazi ni waislam na wa kule zenji kwa asilimia kubwa.
 
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..

Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh Heche Azam wamekaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea..

Chadema ni wakati wenu kuwa na online TV yenye nguvu sasa na page zenu za mitandao ya kijamii ziwe ACTio kuliko wakati mwingine wowote
Azam TV = Udini = Uzanzibar = Ukaburu
 
Social media zinawatosha
 
Mbona we ukiitwa kwenye maandamano huendi?
 
Azam Tv tangu alipostaafu Tido Mhando, imekuwa kama TBC tu. Siku hizi nje ya mpira wa miguu, hakuna kingine ninachoangalia.
Mimi hata mpira wa NBC P.L natumia FAWA, Azam naangalia "Sheria Update" ya Wakili Bashir Yakub basi, sijalipia king'amuzi mwezo wa nane huu.
 
Back
Top Bottom