Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

Mkuu hiyo station inafanya biashara haitegemei ruzuku,sasa wanaangalia habari gani itawapa viewers wengi wacheki na matangazo yao pia. Usisahau kuna television ya taifa, na pia walijisahau kuisifu clouds na wameikorofisha.
Exactly halafu wao hawakumsaidia kuinvest. Lakini pia wanaotuibia ni akina nani kama sio hao hao? Vile Vile tangu lini wananchi wamepiga kelele wakasikika? Wanadhani wananchi ni wapumbavu wasio we za kutambua tofauti ya reality na sinema? Wakati inazinduliwa wenyewe walisema wanataka iwe aljazira ya afrika. Zaidi ya yote kama huyo mtoto angeachwa akaongea Ingekuwa je news?Kwanini wana behave the JHCHASE style "The guilty are always afraid?"
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzito na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichotokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Rwenye uko sawa ila kumbuka mitandao yote imeshikwa na upinzani wasikusumbuebumesema vyema.
 
Nasema hivi usinipangie cha kuonyesha
Its show business watu wanaangalia wapi watauza
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzito na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichotokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Hahaha, yani ulitaka watangaze lile igizo, hiyo kiki ya kushitukiza bandarini ilishakufa kubudu mtafutieni kiki ingine.
 
Acha ujinga kama wajinga wenzako ,tukio LA rais lipi? Yale magari yaliyotoka Zanzibar! Na pia kwa ujinga wako utashangilia uongo wa rais wako pale aliposema rais wa benk ya dunia ndio mara ya Kwanza kutembelea Tanzania na yule aliye kuja 2006 sijui ni nani?
 
Ikifika mda mkaitwa kupewa honyo na makalipio msije kujiuliza wala kulaumu. Kuanza kufanya kazi kama whatsap ama mmegeuka Face book ni kuanza kupoteza "umahiri" wenu. Kwenye hiyo mitandao ya hovyo kule hakuna umahiri, weledi, hekima wala kubalansi. Kule ni kelele, na mihemko tu bila kusahau mapenzi. Kule hakuna utaifa wala taifa, ni ghiriba, udaku, udakuzi na unyambilisi.

Inawezekana hayo unayoyawaza kwa sababu dishi lake limekata waya
 
Kama hawawezi kuelewa wako Tz watakuwa wanapoteza point na hilo wanalitambua. Kuna tofauti kubwa ya VOA, BBC, Bukedde, CCTV, KBC n.k linapokuja suala la Azam TV kuwa Tz. Umekubali kusajiri Tz elewa hauko juu ya Tz na hivyo, kwanza unawajibika kwa Tz kama nchi. Habari za Tz ni lazima zikuhusu na za nchi pia ni za muhimu kwako. Huwezi kuripoti habari za Tz kama waingereza wanavyoripoti za Tz. Ukitaka kufanya kama wao ruksa hamia uingereza ukaripoti habari za Tz, hatutakuuliza.
Kuripoti habar za tz sawa ila sio lazma uanze taarfa anaytaka MTU binafsi
 
Tulia dawa ikuingie......

Si ulisema kwa kejeli kwa wapiga kura wako kuwa wasikupangie la kufanya kwa kuwa Urais ni 'Mali' yako?

Sasa inakuwaje kwa wamiliki wa vyombo vya habari ambavyo ni Mali zao binafsi wewe uwapangie cha kuandika na kutoandika!?
Tena atulize mshono aache shobo. Kwani anawasaidia kulipa kodi?
 
Kituo chao wenyewe wamewekeza kwa hela zao wenyewe!! wewe ni nani mpaka uwapangie? Wao ndiyo wanajua habari gani iwe ya kwanza na ipi iwe ya pili, umeumia sana fungua kituo chako muonyeshe sizonje asubuhi hadi jioni!!!
safi sana
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzito na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichotokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Pole sana kwa kutokwa na Povu kumbe mmeumia sana kuona drama imepotezewa na ishu ya nape imepewa uzito. Labda nikufundishe kwann vyombo vya habari sio tu azam vingi vilipotezea, ni hivi ishu ya bandarini japo ni public interest ishu ina uzito mdogo sana ukilinganisha na ishu ya nape ambayo ni HUMAN RIGHT ishu sasa huwezi kuacha kuipa coverage ishu inayovunja haki ya kibinadam ya uhuru wa kuongea ukaipa mashiko ishu ya wizi. Hahahaha wizi ni kitu kidogo sana hata km thamani ya hicho kilichoibiwa itakua matrilion. Lakin ishu ya mtu kunyimwa haki ya kikatiba ya uhuru wa kujieleza. Hivyo sikulaumu hata waliokutuma pia hawajui. Halafu umesema eti peraonality. Unatakiwa kujua haki ya kikatiba ikivunjwa kwa mtu mmoja au kundi ina uzito ule ule. Ishu sio Nape ishu kuvunjwa kwa katiba kipengele cha haki za binadam. Halafu napata shida unaelewa nini kuhusu neno "maendeleo" kwa mtazamo wako maendeleo ni ya uchumi tu na barabara na vitu vingine tangible? Ukisema maendeleo ni pamoja na ukiwaji wa demokrasia, uhuru wa kujieleza utawala wa sheria na kuheshimu haki za binadamu. Sasa usitulazimishe tuelekeze fikra zetu kwenye mankontena ukadhani ndio ishu ya maendeleo pekee, kilichotekea jana pia ni kipimo kikibwa sana ya kujua tumeudishwa nyuma kiasi gani na utawala huu kwenye maendeleo ya uhuru wa kujieleza. Nenda kajifunze tena maana ya mandeleo halafu uje ulete uzi mwingine. Wana JF Mtakubaliana na mm kua ktk ishu mbili hizi jana ishu ya Nape ndi ilikua na uzito mkubwa kiliko kontena kwa mujibu wa katiba yetu.
 
Kituo chao wenyewe wamewekeza kwa hela zao wenyewe!! wewe ni nani mpaka uwapangie? Wao ndiyo wanajua habari gani iwe ya kwanza na ipi iwe ya pili, umeumia sana fungua kituo chako muonyeshe sizonje asubuhi hadi jioni!!!
Haswaaa mbona ishapigiwa mstari SIPANGIWI. , tatizo kila siku wanakirupuka wanashindwa kisimamia maneno yao. Vyeti feki kwa watumishi leo kwa Bashite imekua chungu. Mnashinda kwenye mitandao leo mkuu anasema mwengine kapost kinana anakutana na waandishi khaaa anafata nini humu? Fanya kazi yapo mambo ya maingi kafutilie. Yeye alidhani atakua anasiwa sasa anaona kinyume anaumia sana. Hatusifii ujinga sisi wa kuwatisha watu wa kuonea wwngine Mhalifu Bashite anatamba. Dah
 
Jamaa huyu atarudi Jf kweli? Maana mmetema mapovu nyinyi noma

Mkulu kadai mkumbukeni nae alitarajia Jana atazungukwa Na makamera mengi lakini ikawa tofauti
 
Ukiwa mjinga utaona ujinga! Sasa wewe unaona ujinga tuu! Maigizo huyachoki wewe. Ile ya kuvamia uliona ama hukuona. Bashite wahedi wewe.
 
24ec39d622456e098dfbe655c31fdc6b.jpg

Ilitaka iandikwe habari ya gari ati imekutwa kwenye kontena????
 
Back
Top Bottom