Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,552
- Thread starter
- #121
Bora mie nisiwe mwandishi kwa kusomea nikakosea kuliko wewe mwandishi wa kusomea uliye kilaza.Kwa anayejua taaluma ya uandishi habari ilivyo akisoma hili bandiko lako atasikitika sana kiwango cha juu cha ujinga ulichoonyesha. labda mimi nikuongoze kidogo, kwenye fani hiyo kuna kitu kinaitwa news judgement,chombo cha habari ndicho kinaamua habari ni ipi baada ya kuzingatia vigezo mbalimbali.
Wewe na viazi wenzio mliosomea uandishi mna faida gani zaidi ya kulamba sole za viatu vya watu? Yaani unaweza ukasimama mahala eti ukajitangaza ni mwandishi kutoka Tz na ukasubiri nafasi ya heshima? Narudia tena, sijasomea uandishi lakini "nyinyi wa siku hizi" ni uchafu.
Nikusaidie tu, kesho ni jmosi, fungua TV yako asubuhi mapema angalia walau Star TV na Azam Two utaona wanachokisema wenzako kuhusu "upuuzi" wenu mnaoita habari. Ukitaka nikukumbushe mie usijari, nitumie namba yako ya simu ntakucheki na huko utapata majibu.
