Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,552
- Thread starter
- #101
Ny
Ukitaka kwenda shule nenda na usipotaka kwenda pia usiende, akili haiji kwa idadi ya madarasa. Akili inazaliwa, na watu wanazaliwa na akili. Wewe unayetegemea madarasa ndo upate akili nenda kama inaokotwa. Usipoelewa nilichokiandika hamia kwangu maana sina mpishi, na tangia hapo ndipo utakapoelewa uwezo wa akili yako.
Nyie ndo mnashinda mnazagaa na vyeti mikononi kisa mmesoma, asubuhi unavyo baa, mchana uko navyo sokoni, jioni unaenda navyo kutongozea na usiku unalala navyo kitanda. Nani alikwambia kiwango cha elimu ndo akili? Ingekuwa hivyo usingekuwa wewe na kidigrii chako unazidiwa uwezo kiakili na mzee aliyeishia la 8 tena miaka hiyo.Mkuu samahani una elimu ganj ? Kama umesoma kwa Level yeyote basi hukuelemika. Azam ni chombo cha biashara sio media ya taifa kama hawakumkashifu mtu basi huwezi kuwapangia ila TBC ya Trump wale sawa