Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

Halafu we bwana sijui umetoka sayari gani? Kwani jana ndio watu wameanza kuiba? Unajua ufisadi Tanzania sio habari tena. Na ndio maana, tunadhani anachofanya mkuu ni kuwasaka na kuwapeleka mahakamani. Mambo haya yemeshaongelewa sana, hadi bungeni. Kilichobaki ni kazi ya kuwasaka na kuwashikisha adabu, waache kuiba.
 
Kwani hao walioiba bandari wametajwa?kama hawajatajwa, hawajakamatwa na kupelekwa mahakamani sasa tutaongelea nin hapo?
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzuto na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichokatokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Usiumizwe na ile Move ya Kutengenezwa Fanya Kazi Achana na Udaku Mitandaoni.
 
Huo upuuzi tu wapo wakina tibaijuka walichukua mabilioni wakagawana fedha za uma kama zakwao lkn hakuna aliekamatwa hata mmoja leo mnaleta maigizo ya vigali vitatu hata vikilipiwa kodi havifiki hata milioni 80. ..hilo niigizo hakuna chakodi wala wizi nimaigizo tu hayo tena maigizo yakitoto kabsa
 
Hayo mambo ya bandarini ni ya kila siku.
Suala la Nape ni la Jana tu na umma ulipenda kulijua zaidi la Nape.
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzuto na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichokatokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Kaanzishe tv yako usiwapangie watu, mitambo yao,kodi wanalipa tcra, siukaangalie Tbccm.
 
Halafu niwakumbushe nyie mnajiita kazi tu tikahili taifa limepata uhulu halijawahi kutawaliwa na chama kingine ..namajizi yanayo isumbua hii icnhi yote yako ccm namengine sasa hivi yamepewa vyeo bungeni sasa leo mnakuja na polopoganda eti mnakamata majiz...manakamata au mnaigiaza maigizo yaasubui
 
Unahararisha matumizi rasmi ya "Uhuru" TBC ndo viwe vyombo vya habari za Tz ila hivi vingine viandike andike tu?
Unahararisha umuhimu wa kuviondoa vingine na badala yake kazi ya kuhabarisha umma juu ya masuala ya nchi yao ianze kufanywe na Uhuru na TBC na wengine amtaia wafungiwe ama wakachukue kutoka Uhuru na TBC?
Unamaanisha ile sheria ya kuvibana vingine ilikuwa sawa kwasababu hawako kitaifa zaidi?
Bashite umeandika nini?
 
Wewe si utizame tu TBC CCM yenu? Azam mnatazama ya nini?
Kama hawawezi kuelewa wako Tz watakuwa wanapoteza point na hilo wanalitambua. Kuna tofauti kubwa ya VOA, BBC, Bukedde, CCTV, KBC n.k linapokuja suala la Azam TV kuwa Tz. Umekubali kusajiri Tz elewa hauko juu ya Tz na hivyo, kwanza unawajibika kwa Tz kama nchi. Habari za Tz ni lazima zikuhusu na za nchi pia ni za muhimu kwako. Huwezi kuripoti habari za Tz kama waingereza wanavyoripoti za Tz. Ukitaka kufanya kama wao ruksa hamia uingereza ukaripoti habari za Tz, hatutakuuliza.
 
Kumbe mtu ukishakua ccm ankua hanaaibu kabsa..jana nanyie nimeona mmekumbuka kua askari huwa wanalipwa kodi ya wanainchi kumbe mtenda hapendi kutendewa..wapinzani wakipigwa hakuna shida lkn mkiguswa kidogo mnalalamika dunia nzima inasikia
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzuto na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichokatokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Nani alikuwa anaibiwa? Yaani waache kuonyesha vitu real, waanze kuonyesha drama za kutungwa ili kujitwalia kiki.
 
We zoba Una taaluma gan kwny habar mpaka uwakosoe azam
 
Jana nilishtushwa kuona mnashindwa kujua uzito wa habari, kubalansi, kutawaliwa na mihemko zaidi ya kujua umuhimu wa vipaumbele kwa watu na nchi yetu.

Hakuna namna unaweza kunishawishi nikaelewa kwamba ni bora zaidi kuongelea "personality" tena kwa dakika5 kuliko kuongelea namna nchi yetu inavyoliwa na kuibiwa tukio lililokuwa likimhusisha raisi. Kwamba kukamatwa makontena 20 yenye kuhisiwa yanatoroshwa yakibeba dhahabu si habari nzito kwenu. Kwamba Nape ni habari nzuto na muhimu kwenu kuliko mali na utajiri wa nchi yetu.

Lakini pia, hivi unaanza habari gani kwa siku, ya raisi ama ya aliyefukuzwa uwaziri? Tena mlivyo wa hajabu wakati mkitoa dakika 5 na kukaribisha wazungumzaji kwa tukio la mtu, upande wa pili mnatoa dakika1 halafu mnafukia as if anayeongea ni balozi wa nyumba kumi na kilichokatokea ni kama mtu kutema mate.

Yawezekana hao wanaotuibia mali zetu waliwaambia msiwaoneshe sana ili wananchi wasipige kelele dhidi yao na badala yake muonesheni fulani ili wananchi wapige kelele dhidi ya utawala. Kama na nyie mlikubali hili na mkauvaa mkenge basi anzeni kujichunguza kabla, nchi yetu inaliwa na sote tunajua ila nyie hamuoni kama la kuliwa nchi yetu ni hoja. Mnatakiwa kuelewa hao wezi hawamuibii JPM tu, hawamwibii fulani tu, wanatuibia sisi sote na tunapopoteza wakati wenzenu wanapata ni kuihujumu nchi yetu. Ni kuhujumu serikali kwa kile inachojaribu kukifanya katika maendeleo, msivimbe vichwa mkajiona tayari.
Hiyo dhana ya personality naona Magufuli kawalisha na mmeifakamia kama kawaida yenu.

Kwanza hayo mambo yaliyotokea bandarini ni maigizo tu, hayakuwa habari.

Pili, umesema walitumia dakika 5 kumwongelea mtu, sasa wangezitumia huko bandarini huyo uliyetaka aonekane yeye siyo mtu?

Na kama unataka kumwona kila mara, tazama TBC1, anapewa coverage ya kutosha. Huko Azam ulifuata nini?

Kuhusu hayo makontena, kwani dhahabu hiyo ni yetu? Si mlishawapa watu wachimbe? Waacheni wapeleke kwao.
 
Kituo chao wenyewe wamewekeza kwa hela zao wenyewe!! wewe ni nani mpaka uwapangie? Wao ndiyo wanajua habari gani iwe ya kwanza na ipi iwe ya pili, umeumia sana fungua kituo chako muonyeshe sizonje asubuhi hadi jioni!!!
Aaaah nimekupenda buree
 
Ikifika mda mkaitwa kupewa honyo na makalipio msije kujiuliza wala kulaumu. Kuanza kufanya kazi kama whatsap ama mmegeuka Face book ni kuanza kupoteza "umahiri" wenu. Kwenye hiyo mitandao ya hovyo kule hakuna umahiri, weledi, hekima wala kubalansi. Kule ni kelele, na mihemko tu bila kusahau mapenzi. Kule hakuna utaifa wala taifa, ni ghiriba, udaku, udakuzi na unyambilisi.
Mkuu samahani una elimu ganj ? Kama umesoma kwa Level yeyote basi hukuelemika. Azam ni chombo cha biashara sio media ya taifa kama hawakumkashifu mtu basi huwezi kuwapangia ila TBC ya Trump wale sawa
 
Azam walichemka kama uji wa maharagwe kwa ujumla sasa hivi hakuna chombo cha habari smart kama Azam ila wapunguze ushabiki waweke masilahi ya Taifa mbele bado mimi ni shabiki na mpenzi wenu ila jana mlichemka ilikuwa kama ni Tv ya familia ya Nape mmevuna aibu ninyi ni professionals kuanzia mkurugenzi wenu hata wasomaji wapo vizuri anagalieni msijitumbukize kwenye matope tunawategemeenni
Mkuu wewe ni muungwana sana. Kuna watu hapa na vijitu viko busy kutetea basi waonekana wananipinga na ajabu wengine hata kinachojadiriwa hapa hawakijui na ndo kwanza wanakisikia. Inakuwa kama vile sie na Azam tuliwahi kugombea frequencies of coverage, kuvamia jambo ni jambo lisilo la kiungwana sawa na kukosa adabu.

Lakini si tatizo kwangu wala kwa hawa wavamizi, ujumbe huu uwafikie wahusika Azam Tv kwani wao ndo wenye kuwajibika kwa kila kitakachofuatia.
 
Mkuu hiyo station inafanya biashara haitegemei ruzuku,sasa wanaangalia habari gani itawapa viewers wengi wacheki na matangazo yao pia. Usisahau kuna television ya taifa, na pia walijisahau kuisifu clouds na wameikorofisha.
Na hio ndio maniki nzima ya private media. Habari inayouza ndio inayopewa kipaumbele! Kwani raisi kutembelea bandari ni mara ya kwanza? Mbona kaenda mara kadhaa? Kama wanataka ku prolong habari za bandari basi TVT, sorry I mean TBC wanapaswa kuwa ndio wahusika wakuu!
 
Mimi ningetarajia kuona raisi anawafukuza kazi marc na marpc kote mzigo wa kontena la dhahabu ulimopita, makamishna wa madini wa kanda ile wote weka pembeni, waziri wa madini kama yupo piga chini

Sasa kaenda alivoona kamera za uhuru tbc na habari leo tu ndo zimemfuata nyingine zpo protea na hajatolewa front page ndo kapanic kabisa
Nasikia Bwana Yule usiku mzima wa jana hakulala hadi kwa vidonge..kaanza watu wanamaliza. ASITUPANGIE..
 
Back
Top Bottom