Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,789
- 4,828
Wanayo inaitwa multichoice Tanzania
I love jamii forum community .thanks bro thanks again
Wanayo inaitwa multichoice Tanzania
Azam hawajawahi kuanzisha biashara ikafa.. Wako vizuri kwenye marketing. Sahau!Haiwezekani! kama wataanzisha kweli mtandao wa simu huo ujinga hautakuwepo na ukiwepo mtandao wao utakuwa kama Zantel tu na hatimaye utakufa.
kwanini utakufa? Tanzania ina idadi kubwa ya wakristo kwa mujibu wa sensa ya 2012 ni takribani asilimia 65%.
utakuja na hoja ya kwanini tukiangalia mechi kwenye Azam tv tunaambiwa hizo salam na hatuachi kununua wanaosema hizo salam ni wenye dini hiyo si wote huwezi kumsikia Steve moyo au Baraka Mpenja wanazisema.
na hakuna sehemu panapowabana wasitumie salamu za dini fulani.
kwenye mitandao ya simu mzee ni tofauti na king'amuzi huko mtandao unakufa kifo kibaya sana kuliko cha SMART
Dini zoote ni ubaguzi......tafakari kwa kina na wala usikurupuke kunitukana.Write your reply... Azam ni udini mtupu
Sultaaaaaaaaaani mkuu.....,King'amuzi cha azamu ukiondoa Mpira sioni kingine cha kuangalia



kodi tunalipa.mkuu....tatizo nini ludia tenaAzam ni wakuda sijawahi kuona, sema sisi Watanzania hatuna umoja tungepiga campeni ya kutotumia hivi vingamuzi vyao vya kindezi... Hii mijamaa ni hopeless sana, wametoa chanel ya NASA hii mijamaa iliniboa kishenzi...
Mi mijitu ya Azam ichunguzwe uraia wao, kwanza nahisi inakwepa kodi TRA kachunguzeni hawa wahuni.... Waliniboa walivyo ondoa chanel ya NASA na Discover...
DStv DStv DStvSasa king'amuzi gan ndio kizuri hapa Tz?
Mi pia ipo tu, natumia cable. Naona hao jamaa wa cable wako vzr kuliko Azam.Mi kwangu mkuu azam ina mwaka.cjawahi ilipia, nipo dstv tu,
Hahaha Imebidi Nicheke tuKuna Sultan na sinema zetu mkuu!! Sasa hivi angalau tunaangalia nyati na fisi kwenye Safari chanel!
DSTV huwezi kuimudu brother kama huna bajeti kubwa.
Kupata channels za sports ni bei ya kununua kisimbusi kingine cha DSTV na unabaki na chenchi![]()
Aisee mi nilitaka kununua king'amuzi cha Azam maana nimetumia DSTV muda mrefu na natamani kuona radha ya upande wa pili. Kumbe mambo yenyewe ndio hayo...lol
Yaani hawa wagalatia wasio na akili sijui nani amewaroga kazi kulalamika tuu, visimbusi vipo kibao si wakanunue huko, kuna ting zuku dstv kazi kuilalamikia azam kisa owner ni muslimHapana wala sio sales sipendi majitu yanayopenda masuala ya dini...!!!nachukia mtu mdini!dini
Nyie wagalatia msio na akili tushawazoe kazi kulalamika tu, akili hamna hata za kujiongeza, ngoja sasa nikutajie wafanyakazi wakristo pale azam , mkurugenzi mkristo, msaidizi mkristo, mkuu wa idara ya habri mkristo, mkuu wa michezo mkristo, tido, Charles , patrick , ivona, mbwa nyieJamaa wana udini sijapata kuona !!
Hivi nyie wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Hivi ulitaka Yusuf Bakhresa ajenge Manisa? Mbona mnalalamika sana aliyekulazimisha kwenda azam complex ni nani? Si uende kwa gwajimaAzam ni wadini hadi kwenye michezo .
Uwanja mzima wa azamu mmejaa misikiti nenda chamazi