Azam Tv inapoteza mvuto

GTV wangerudi wale jamaa DSTV wangeenda sawa sawa
Pia wakipatikana ESPN nao wazuri sana
Ila kwa kweli DSTV tena kwa explora Mimi naangalia extra kwa kwa kwa kutumia DStv explora decoder mbili haisumbii kbsa wala hautajutia kbsa kbsa
 
Udini unawaharibu kindezi Wanafikiri Tanzania sijui ni Islamic state, hatukatai mtu apende dini yake lakini sio kuforce kwenye sehemu za Public au biashara ambapo kuna wenye imani tofauti

Mimi nilishakitupa store huko ni labor ya mende saivi
 
Hiyo misikiti iliyokuwepo uwanjani wanalazimishwa wachezaji wasio wa hiyo imaani kwenda kuabudu/ kusali? au ni zambi kujenda nyumba ya ibada ? au labda ulipenda wangejenga na kanisa?
Azam ni wadini hadi kwenye michezo .

Uwanja mzima wa azamu mmejaa misikiti nenda chamazi
 
Bila shaka ni chuki hizi mkuu, Azam media wafanyakazi wote mle ni waislam mkuu? Azam media wako vizuri kwa kweli mimi wala siboreki kuangalia chanel zao
Channel zipi hizo? Salt?Universal?citizen?au? Yenye nafuu iliyobaki ya nje ni Nat Geo wild tu!
 
That is Islamic TV
Do oooh kumbe?
Ndio maana basi kumbe ni kama radio Maria hahaha

Lakini TCRA hutoa leseni za media za kijamii na za kibiashara sasa hawa kumbe ni za kijamii au kidini lakini wana adverts mle, Hapo nashangaa ila kiukweli ni TV ya kidini pasee
 
Uwanja wa michezo na majasho ya kucheza eti udhu

Kwani huko mitaani wamakotoka wachezaji jakuna misikiti

Hiyo misikiti iliyokuwepo uwanjani wanalazimishwa wachezaji wasio wa hiyo imaani kwenda kuabudu/ kusali? au ni zambi kujenda nyumba ya ibada ? au labda ulipenda wangejenga na kanisa?
 
Back
Top Bottom