mkumbwa junior
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 840
- 1,665
Hamieni kwenye CANAL+View attachment 1120379
Hamieni kwenye CANAL+View attachment 1120379View attachment 1120380
AsanteNyie wagalatia msio na akili tushawazoe kazi kulalamika tu, akili hamna hata za kujiongeza, ngoja sasa nikutajie wafanyakazi wakristo pale azam , mkurugenzi mkristo, msaidizi mkristo, mkuu wa idara ya habri mkristo, mkuu wa michezo mkristo, tido, Charles , patrick , ivona, mbwa nyie
Emmanuel T v hata kwenye DSTV IPO mbonaSisi wapenzi wa
Let Love Lead, tunahitaji mturudishie channel yetu pendwa ya
Emmanuel TV.
Tumenunua Kisimbusi cha Azam kwa ajiri hiyo tu na Ligi ya TPL.
Bring Back Emmanuel TV.
Please
Dstv wako vizuri tu tena kifurushi cha bomba cha 19000 uanapata burudani tosha kwanini ulipe 28000?Ukitaka burudani ya kweli nunua dstv..
Ila kama bajeti zinabana nenda tu kwa mchina (startimes)
Ndio IPO hata kwenye kufurushi cha elfu 19 kwa mwezi.Emmanuel T v hata kwenye DSTV IPO mbona
Mi pia ipo tu, natumia cable. Naona hao jamaa wa cable wako vzr kuliko Azam.
Kwa anayehitaji King'amuzi chochote au huduma ya ufundi kwa Dar es Salaam
Bei zetu za ving'amuzi
DStv 99,000 + 20000 ufundi
Startimes(dish) 140,000
Azam 145,000
Simu: 0764453848
Nauza king'amuzi cha DSTV bei chee elf 70. Maongez yapo
Mkuu hawa canal channel zao za sport vifurushi bei gani?.Je Epl,UEFA,ueropa nazinginezo zinaonekana?.Hamieni kwenye CANAL+View attachment 1120379View attachment 1120380
Hii hakuna atakayejibu...Mkuu vipindi vipi Azam ambavyo wanasema nivya udini?, Au maudhui yapi.
Azam one hii channel hurusha movie zote zenye maudhui yasiyo ya kiislam 100%
Azam two hurusha tamthiliya zenye maudhui mchanganyiko.
Sinema zetu( hii nibongo movie)
Azam sport 2 na Azam hd, hizi nizamichezo,Azam extra hii niyamatangazo.
Hizi channel ndio anazomiliki Azam nandio anapanga maudhui yake.Je nilitaka nifaham nichannel zipi ambazo zinamaudhui ya udini.
Maana king'amuzi cha azam kinachannel 99 cha bei ya juu,cha chini kinachannel 40.Katika channel za kulipia.
Mkuu vipindi vipi Azam ambavyo wanasema nivya udini?, Au maudhui yapi.
Azam one hii channel hurusha movie zote zenye maudhui yasiyo ya kiislam 100%
Azam two hurusha tamthiliya zenye maudhui mchanganyiko.
Sinema zetu( hii nibongo movie)
Azam sport 2 na Azam hd, hizi nizamichezo,Azam extra hii niyamatangazo.
Hizi channel ndio anazomiliki Azam nandio anapanga maudhui yake.Je nilitaka nifaham nichannel zipi ambazo zinamaudhui ya udini.
Maana king'amuzi cha azam kinachannel 99 cha bei ya juu,cha chini kinachannel 40.Katika channel za kulipia.
Ukipata jibu naomba unitag mkuuZuku fibre anaejua aniambie inafanyeje kazi au unapataje wa mkoani?
cheki TBC hiyo itakufaa.Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!
Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!
Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!
Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!
Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!
Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!
Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Hiyo huduma ya kebo inapatikana Daresalam ?Huduma ya kebo ipo Vizur kweli Chanel zote za local unapata Chanel za nje zimo Yaani full burudani
Hivi hii huduma ya kebo mikoani inapatkana vipi.? Navipi malipo yakeHuduma ya kebo ipo Vizur kweli Chanel zote za local unapata Chanel za nje zimo Yaani full burudani