Azam Tv acheni makwazo!

Azam Tv acheni makwazo!

Nielekeze mku nazipataje
Nadhan hua wanakata baada ya wiki tatu kama hujalipia, nijuavo emanuel tv na zingine zinapatikana kuanzia No 1 sio content za azam tv bali zipo ktk satellite inayotumiwa na azam na ni free channels, ukiscan utaona nyingi tu
 
Sipo home ila kuna sehemu.unafanya searching then zitajipanga, from no.1, za azam.zinabaki intact
 
Nadhan hua wanakata baada ya wiki tatu kama hujalipia, nijuavo emanuel tv na zingine zinapatikana kuanzia No 1 sio content za azam tv bali zipo ktk satellite inayotumiwa na azam na ni free channels, ukiscan utaona nyingi tu
ili niweze ku-scan ninafanyaje mkuu Lokissa nisaidie
 
Kwanini msijiunge na ulimwengu wa FTA free to air
Haina pressure ya kulipia una fursa ya channel hadi mia
 
Kikubwa hapa si kwamba kashindwa kulipa elfu kumi na mbili, swali ni je hizo chaneli zinapaswa kuonekana hata kama mtu hajalipia kifurushi, sema tu mambo yanakuwa hivyo kwa sababu hata hizo bodi zinazosimamia havifanyi hivyo
 
Hawa azamtv siwaelewi kabisa usipolipia wanakata mpaka zakwao.yani azam1 AZAM2 nashndwa kuelewa inamana hata wao cyo locol chanel?cha ajabu unalipa 12alfu unapewa locol chanel yani shda tupu
 
MUVI CHANEL KWANN WAMEANDIKA HVYO
Hilo nafikiri ni neno lenye maana fulani hivi kuna muvi bakadoli =cartoon muvi nyimbo music channels muvi muvi = movies channel nadhani muvi emanuel wanamaanisha emanuel chanels .sijui kimalawi au kimsumbiji hiki!
 
Back
Top Bottom