Azam Tv acheni makwazo!

lovely097

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
277
146
Azam acheni makwazo, ndio nini kutukatia channel zote na kuacha TBC peke yake? toka lini clouds TV au ITV ikalipiwa acheni roho mbaya.

Sio vyema mfanyavyo na cha kushangaza zaidi channel ya Emmanuel TV jina mmeacha ila content Sio inaonyesha ni channel nyingine inaitwa clear TV.

Mnamakwazo kweli nyie watu, Mturudishie channel mlizozifuta na mrudishe Emmanuel tv..:mad::confused:
 
Jamaa kashusha OB nyingine
a02beae9fd4d00d07a3a4ff6f32e767c.jpg
 
Nadhan hua wanakata baada ya wiki tatu kama hujalipia, nijuavo emanuel tv na zingine zinapatikana kuanzia No 1 sio content za azam tv bali zipo ktk satellite inayotumiwa na azam na ni free channels, ukiscan utaona nyingi tu
 
Mkuu samahani nomba unielekeze njinsi ya kuscani Ili nipate hizo chaneli
 
Azam acheni makwazo, ndio nini kutukatia channel zote na kuacha TBC peke yake? toka lini clouds TV au ITV ikalipiwa acheni roho mbaya.

Sio vyema mfanyavyo na cha kushangaza zaidi channel ya Emmanuel TV jina mmeacha ila content Sio inaonyesha ni channel nyingine inaitwa clear TV.

Mnamakwazo kweli nyie watu, Mturudishie channel mlizozifuta na mrudishe Emmanuel tv..:mad::confused:
Orders from above....sort of remote control or navigator
 
Back
Top Bottom