IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,448
- 2,289
Azam TV hawaoneshi game zinazoandaliwa na Kampuni ya SportPesa, iwe lile kombe la SportPesa Super Cup linazokutanisha timu za Afrika Mashariki au hata mechi ya juzi kati ya Sevilla na Simba awakurusha
Na wasingerusha hapa bongo Simba, Yanga, Singida na Mbao ndio zina uzamini wa SportPesa sasa kwenye kombe la SportPesa mechi zao awarushi wala promo akuna
Lakii timu hizo hizo zikiwa zimekumbatia kifuani jina la kampuni ya SportPesa bwana kamari mechi zao ligi kuu wanarusha na kamera zilezile walizogoma rushia mechi za SportPesa.
Siku wanayo kutana Simba vs Yanga then Singida vs Mbao na mabango ya sportpesa kifuani. Je hapo si wamekimbia chui na kuvamia duma?!
NB Azam aijawai shiriki tusker cup kwa kua ni pombe Je wako sahihi au sio sahii
POLENI KWA UANDISH MBOVU POVU POA