AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

Mkuu soma maelezo kwenye box la maziwa ya Azam kwanza halafu ndio uje na utetezi wako,
Mwenye kiwanda ameandika ni powder milk + water + added fat, sijui unabisha nini? Inawezekana hujawai hata kuyatumia unaleta unazi tu hapa.

Thanxx kwa kuwafundisha wasawahili tatzo kujifanya kila kitu wanajua afu ukimwambia weka fact Mezani anatoa macho ndo mana its the Only country mtu akiongea english wanahisi n mtalii afu wanaanza kumwogopa ka Nyoka yani Ukiitwa mtanzania majanga remix.
 
Page 11....hivi hakuna msemaji rasmi wa azam kwenye social media?
 
Page 11....hivi hakuna msemaji rasmi wa azam kwenye social media?

Awepo msemaji au asiwepo yeye anaingiza ela nyie mwabaki hapa oh maziwa ya ngombe au ya Kuku watanzania tatzo kusoma vitu ndo bado wanajifanya wanajua lakin watupu ...!!!!!
 
Hahah wenyewe hapa Bongo wanasema ni ujasiriamali na kuchangamkia fursa...

Labda jamaa kaona fursa kila kona na ndio maana kaamua kuwekeza...

tunasubiria mafuta ya taa na viberiti chapa azam...
 
Yaani, hadi ajabu, kwenye box la maziwa ya Azam kuna ingredients, so sielewi kwanini mnazozana,,,alafu hayo tanga fresh, asas na mengineyo pia so fresh...
 
......hiyo juice ya maembe ni chemicals tupu, hayo maziwa nayo chemicals. Maziwa ya ukweli ni asas na tanga fresh. Au nunua moja kwa moja kutoka kwa mfugaji wa cows.

Au nunua toka kwenye kampuni moja ya Kenya, jina limenitupa mkono, maziwa yao mazuri sana, very strong, wako karibu na Itv nadhani.
 
Kwani huyu hachanganyi kidogo na yale maziwa ya wamasai
 
hahaha eti maembe ni ya kweli unauhakika kila kitu pale ni formula mkuu
 
Dah....kwani Azam katangaza ni fresh? ....acheni unoko bana........
 
Kwani yakiwa artificial hawezi kuandika ingredients anazopenda kuandika kwenye box?
 
Someni ingredients kwenye box, hacheni tabia za kiswahiliswahili za kutojali
Azam milk ingredients ni Powder milk + Added fat+ Water, therefore drink at your own risks.

Kwani maziwa ya unga yanatengenezwa na nini?
 
hahaha eti maembe ni ya kweli unauhakika kila kitu pale ni formula mkuu

Kwenye maembe namtetea Azam. Kule Mtwara na Lindi ananunua mti mzima wa mwembe. Na kote, wilaya vijiji na vitongoji amenunua
 
Kwani maziwa ya unga yanatengenezwa na nini?

Yapo yanayotokana na maziwa ya wanyama kama ng'ombe, mbuzi, nguruwe n.k. wana add some chemicals yanakuwa ya unga . Yapo ya magumashi. Hayo ni formula tu inatengeneza maziwa
 
Hawezi akanunua maziwa akasafirisha kwenda unguja?
Pale unguja nilifika kwenye eneo alilopewa na serikali kujenga kiwanda kikubwa sana kwa Znz. Ni kama kilomita 70 hv kutoka mjini. Pale hakuna eneo la zaidi/ beyond maana ndio mwisho wa ardhi isiyo maji. Ana yard kubwa kupita maelezo. Niliambiwa kuwa pale ni kwa kufugia ng'ombe. Ni pakubwa sana. Ule uwekezaji ni noma. Sina shaka maziwa ya Azam yanatokana na ng'ombe
 
Alinunua shamba kubwa huko Bambi Zanzibar kwa ajili ya kufuga ng'ombe... Na kiwanda chake kipo Fumba - Zanzibar.

Hana ngombe wala baaaa ni maziwa ya unga hata yeye ameandika hivo.
Mazima ya ngombe huwa yana oneshwa kwenye ingridients kuwa ni maziwa safi ta ngombe.
Hata harufu yake ipo wazi ni tui la nazi
 
Yapo yanayotokana na maziwa ya wanyama kama ng'ombe, mbuzi, nguruwe n.k. wana add some chemicals yanakuwa ya unga . Yapo ya magumashi. Hayo ni formula tu inatengeneza maziwa

Kwa hiyo ya Azzam yupo kundi lipi katika hayo uliyoyataja, kama hujuwi sema tu hujuwi. Kuliko kuendelea kujiaminisha ujinga.
 
Nyie endeleeni kutumia hzo bidhaa za huyo mswahili mie situmii kuanzia maji unga juice sijui pasi naskia ana TV sijui wakati kuna DSTV na mataka taka mengine kama una bisha karibu kwangu niPM nikuelekeze ukae siku 1 uone kama kuna takataka za hyu mswahili natumia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom