Dar Milk ndiyo hao Com Milk wana bidhaa nyingi za maziwa shamba lipo Kigamboni, ni Oil Com hao.
Heshima kitu cha muhimu, na hukuwa na sababu ya kujibu. Kama hujui kusoma kamlalamikie Mama Yako.
Hapa JF hatujuani hivyo usiniite binti. Kama Baba yako ni binti niite hivyo
Utaendelea kuwa mtumwa wa bidhaa za njee mpaka lini?Azam wanang'ombe waliwatoa australia nenda zanzibar utaona shamba!kuna watu humu jf wameajiriwa kuchafua biashara za Bakhresa kila kukicha lakini wamechemsha.Wacha mie niendelee kunywa juice za CERES NA MAZIWA TOKA KWA MADIBA USWAHILI MIE SIUWEZI.
Kwani nchi hii hatuna wakulima wa ng'ombe?!..mi nazani ananunua maziwa hayo toka kwa wakulima, nayeye kuyapack kwa lebo yake!
kwani hajipendi!
Utaendelea kuwa mtumwa wa bidhaa za njee mpaka lini?Azam wanang'ombe waliwatoa australia nenda zanzibar utaona shamba!kuna watu humu jf wameajiriwa kuchafua biashara za Bakhresa kila kukicha lakini wamechemsha.

Hizo bidhaa ndiyo unazoziamini daa!!Wacha mie niendelee kunywa juice za CERES NA MAZIWA TOKA KWA MADIBA USWAHILI MIE SIUWEZI.
Wacha mie niendelee kunywa juice za CERES NA MAZIWA TOKA KWA MADIBA USWAHILI MIE SIUWEZI.
Utaendelea kuwa mtumwa wa bidhaa za njee mpaka lini?Azam wanang'ombe waliwatoa australia nenda zanzibar utaona shamba!kuna watu humu jf wameajiriwa kuchafua biashara za Bakhresa kila kukicha lakini wamechemsha.
Mii hata Tv yake nina wasi wasi nayo!
Unauhakika na ya s.africa?
Utaendelea kuwa mtumwa wa bidhaa za njee mpaka lini?Azam wanang'ombe waliwatoa australia nenda zanzibar utaona shamba!kuna watu humu jf wameajiriwa kuchafua biashara za Bakhresa kila kukicha lakini wamechemsha.
Chezea sauZi veve 80%-100% ceres n matunda iwe chungwa apple au embe....!!!! Ukifika sauzi africa ndo utajua tam na chungu ni ipi
Kunywa bia, kuokoa vyanzo vya maji.
Utaendelea kuwa mtumwa wa bidhaa za njee mpaka lini?Azam wanang'ombe waliwatoa australia nenda zanzibar utaona shamba!kuna watu humu jf wameajiriwa kuchafua biashara za Bakhresa kila kukicha lakini wamechemsha.
huu nao ni utumwa! We umefanywa mtumwa pia