Usiogope sana mpwa wengi waliojibu pia ni maoni yao hawawezi kumuhakikishia muuliza swali kama hayo maziwa ya Azam ni maziwa halisi ya ng'ombe au sio halisi..Kwa uchache wa ufahamu wangu Bhakheresa pia anashamba la ng'ombe wa maziwa maeneo ya Fumba Zanzibar,sasa swala la kama yanatosheleza kwa product yote iliyo sokoni ya AZAM MILK AU hayatoshelezi hiyo ni suala lingine maana hata hao serengeti milk,dar milk hakuna mwenye ushuhuda kwamba products zao ni maziwa halisi kutoka kwa ng'ombe.
sometimes specialization is better than diversification
ASAS kule nduli iringa anao ng'ombe kibao anafuga, na anakamua maziwa na kutengeneza products nyingi. azam maziwa yake ni kweli anayatengeneza artificial kama wanavyosema watu mtaani? ng'ombe wake anafugia wapi, anakamua wapi hayo maziwa jamani?
NB: lengo sio kumharibia biashara, nafikiri kama yuko humu ni nafasi yake kujisafisha ili kuondoa doubt kwasababu kusema kweli binafsi huwa napenda products zake, sasa nilipoambiwa na wenzangu kuwa maziwa ya azam ni artificial nilisita kuendelea kuyanunua.
najua kwamfano juisi za maembe, anatumia maembe halisi, nanasi halisi na matunda mengine halisi (pamoja na kwamba mapera sijajua anachuma kwenye shamba gani?), ila maembe ni halisi. kwa wale wenye ufahamu, tuambieni azam maziwa yake anakamua wapi, au anaagiza uarabuni ya ngamia kama wanavyosema huku mitaani?
Kwenye box imeandikwa yanatengenezwa unguja nikajiuliza Unguja kuna N'gombe wa kuzaliza maziwa mengi hivi?
Una ushahidi au unaongozwa na chuki tu.Huyu jamaa atatuletea magonjwa makubwa sana na hiyo miziwa yake ya kutengeneza
Watanzania tujenge tabia ya kusoma ingredients ya vyakula tunavyonunua
Oil Com nao wana shamba kubwa la ng'ombe Kigamboni nao wanatengeneza maziwa yanaitwa Com Milk.
Eti shamba Unguja!!!!!! Wanywa gahawa hata wakiambiwa bakheresa ana shamba kubwa la mbuzi kariakoo watakubali PambafUna ushahidi au unaongozwa na chuki tu.
Azam wana shamba kubwa la ng'ombe Unguja ndipo kwenye kiwanda.
Unaoneka una msongo mkubwa kutokana na ugumu wa maisha.
Dar Milk ndiyo hao Com Milk wana bidhaa nyingi za maziwa shamba lipo Kigamboni, ni Oil Com hao.Na Dar milk je? hilo shamba liko pande zipi Kg la co. milk.
Wewe mnywa mbege pumbaf mama yako amekulea malezi mabovu sana unatukana watu tu.Eti shamba Unguja!!!!!! Wanywa gahawa hata wakiambiwa bakheresa ana shamba kubwa la mbuzi kariakoo watakubali Pambaf
Una ushahidi au unaongozwa na chuki tu.
Azam wana shamba kubwa la ng'ombe Unguja ndipo kwenye kiwanda.
Unaoneka una msongo mkubwa kutokana na ugumu wa maisha.