Alinunua shamba kubwa huko Bambi Zanzibar kwa ajili ya kufuga ng'ombe... Na kiwanda chake kipo Fumba - Zanzibar.
Ana ng'ombe mandege eneo la kiwanda cha azam cola mbele kilomita 30.
Nyie endeleeni kutumia hzo bidhaa za huyo mswahili mie situmii kuanzia maji unga juice sijui pasi naskia ana TV sijui wakati kuna DSTV na mataka taka mengine kama una bisha karibu kwangu niPM nikuelekeze ukae siku 1 uone kama kuna takataka za hyu mswahili natumia
au nunua toka kwenye kampuni moja ya kenya, jina limenitupa mkono, maziwa yao mazuri sana, very strong, wako karibu na itv nadhani.
Kwani maziwa ya unga yanatengenezwa na nini?
Someni ingredients kwenye box, hacheni tabia za kiswahiliswahili za kutojali
Azam milk ingredients ni Powder milk + Added fat+ Water, therefore drink at your own risks.
hata tukisoma HATUELEWI KINA MAANISHWA NINI! mtu umeona picha ya embe halafu kaneno " MANGO PULP" ndio kabisaa tunajua ni embe halisi kwa neno mangoWatanzania tujenge tabia ya kusoma ingredients ya vyakula tunavyonunua
Una ushahidi au unaongozwa na chuki tu.
Azam wana shamba kubwa la ng'ombe Unguja ndipo kwenye kiwanda.
Unaoneka una msongo mkubwa kutokana na ugumu wa maisha.
mkuu weka picha ya shamba la ng'ombe la azam ili kumaliza UBISHIUna ushahidi au unaongozwa na chuki tu.
Azam wana shamba kubwa la ng'ombe Unguja ndipo kwenye kiwanda.
Unaoneka una msongo mkubwa kutokana na ugumu wa maisha.