platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Kwani nchi hii hatuna wakulima wa ng'ombe?!..mi nazani ananunua maziwa hayo toka kwa wakulima, nayeye kuyapack kwa lebo yake!
Ni maziwa ya unga anayo_import kutoka nje.
Kwani nchi hii hatuna wakulima wa ng'ombe?!..mi nazani ananunua maziwa hayo toka kwa wakulima, nayeye kuyapack kwa lebo yake!
Mii hata Tv yake nina wasi wasi nayo!
Ni maziwa ya unga anayo_import kutoka nje.
Ni maziwa ya unga anayo_import kutoka nje.
Kunywa bia, kuokoa vyanzo vya maji.
Usiogope sana mpwa wengi waliojibu pia ni maoni yao hawawezi kumuhakikishia muuliza swali kama hayo maziwa ya Azam ni maziwa halisi ya ng'ombe au sio halisi..Kwa uchache wa ufahamu wangu Bhakheresa pia anashamba la ng'ombe wa maziwa maeneo ya Fumba Zanzibar,sasa swala la kama yanatosheleza kwa product yote iliyo sokoni ya AZAM MILK AU hayatoshelezi hiyo ni suala lingine maana hata hao serengeti milk,dar milk hakuna mwenye ushuhuda kwamba products zao ni maziwa halisi kutoka kwa ng'ombe.hii ni taarifa mbaya kwangu manake nilikwa nayabugiaje haya maziwa
Huko unguja hao ng'ombe anawafugia wapi?
Mii hata Tv yake nina wasi wasi nayo!
Usiogope sana mpwa wengi waliojibu pia ni maoni yao hawawezi kumuhakikishia muuliza swali kama hayo maziwa ya Azam ni maziwa halisi ya ng'ombe au sio halisi..Kwa uchache wa ufahamu wangu Bhakheresa pia anashamba la ng'ombe wa maziwa maeneo ya Chamazi,sasa swala la kama yanatosheleza kwa product yote iliyo sokoni ya AZAM MILK AU hayatoshelezi hiyo ni suala lingine maana hata hao serengeti milk,dar milk hakuna mwenye ushuhuda kwamba products zao ni maziwa halisi kutoka kwa ng'ombe.
Asante mkuu ni kweli nimekosea,anafuga ngombe wa maziwa maeneo ya Fumba ZanzibariHapo umechapia tuambie chamazi azam fc sasa hvi kapageuza sehemu ya malisho ya ng'ombe? au chamaz maeneo gani?
Swali ni kwamba. Je Bakhresa mwenyewe huwa anatumia bidhaa za Azam?