Azam huu nao ni ubaguzi

Azam huu nao ni ubaguzi

digalangosha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
1,574
Reaction score
2,292
Habarini wakuu...?

Poleni wafiwa wote kwanza

Mie nimeliona hili toka jana azam mnavyotangaza kufiwa na staff wenzenu

1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.

2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...

Mkumbuke lakini hata hao madereva ukute walikua wateja wenu kwa namna moja, lakini ninyi mmejiangalia kama ninyi tu kwenye shida.

Mungu mkubwa kupitia clouds fm nimewasikia madereva wa coaster wa biafra na external nao wamesema wanajipanga kusafirisha miili ya wenzao hao pia wizara ya utalii imesema itawasaidia....

NOTE
Azam kumbukeni hata msiba wa lucky Vicente serikali haikubagua kwamba huyu ni dereva alisababisha ajali au hawa ni wanafunzi na walimu, bali ilitoa heshima ya maziko kwa wote.
20190709_083253.jpeg
 
1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.

2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...
Hayo mambo hapo juu kama ni kweli yanasikitisha sana, wangefika salama wangewashukuru madereva pia.
 
Kuna kosa hapo sidhani kama miili ya hao madereva haikusafirishwa pamoja na hao marehemu wengine lakini pia inawezekana miili itatokea hapo Hospital ilipoifadhiwa kwenda kwa hao ndugu wa madereva direct bila kuja dar.. !! But all in all hapo pana tatizo
 
Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.

Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.

Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho
Habarini wakuu...?
Poleni wafiwa wote kwanza
Mie nimeliona hili toka jana azam mnavyotangaza kufiwa na staff wenzenu
1. Kwanza mnatangaza sana watu watano badala ya 7, hata kama wale wawili sio staff wenu lakini mkumbuke ndio walikua wamewabeba staff wenu.
2. Mmefata miili ya staff watano tu, yan mmeshindwa hata kusaidia hiyo miili miwili ya wenzetu...
Mkumbuke lakini hata hao madereva ukute walikua wateja wenu kwa namna moja, lakini ninyi mmejiangalia kama ninyi tu kwenye shida.
Mungu mkubwa kupitia clouds fm nimewasikia madereva wa coaster wa biafra na external nao wamesema wanajipanga kusafirisha miili ya wenzao hao pia wizara ya utalii imesema itawasaidia....
NOTE
Azam kumbukeni hata msiba wa lucky Vicente serikali haikubagua kwamba huyu ni dereva alisababisha ajali au hawa ni wanafunzi na walimu, bali ilitoa heshima ya maziko kwa wote.View attachment 1149596
 
Hiiiii! !!!! Wame fanya hivyo? ?? .... aise hao kweli hawana Utu.
 
Daa kwa hili endapo ni kweli basi wamezingua sana aisee....
 
Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.

Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.

Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho

mimi mwenyewe nlikuwa miongoni mwa waliopokea hizo maiti na zilikuwa 7 watanzania tuache kukurupuka kwa mambo msiyoyajua alafu mkipotezwa mnalalamika kumbe ni haki yenu
 
sasa ubaguzi wa azam upo wapi?
Kwani hao madereva si walikodiwa?
Na si Wana mabosi zao.
Wamekufa wakiwa kwenye majukumu ya kikazi kwanini mabosi zao wasihusike kuwafata? mbona tunapenda lawama na kukuza vitu vidogo.
Inasikitisha kwa kweli. Walitakiwa wasafirishe miili yote saba. Walitakiwa wawasiliane na ndugu za hao madereva. Watu wabaguzi jamani. Tena kwenye matatizo jamani.
 
Na madereva wamesafirishwa pamoja na wafanyakazi wa Azam.

Labda kwa kuwa matangazo yao yanawataja wafanykazi hao watano ukahisi hao madereva wamewaacha.

Nipo karibu na familia ya dereva mmoja aliyefariki. Maiti imesafirishwa na Azam na imefika jana kwa njia ya ndege.
Tusipende kulaumu bila ya uthibitisho
Mleta Uzi soma hii na futa uzi wako mara moja.
 
Back
Top Bottom