Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,933
Jamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)