tabbet
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 292
- 117
Poleni mnao kunywa mimi nilifuta kunywa juic za dukani wala soda situmii.ila natengeneza juice homhii nayo ni kweli
Poleni mnao kunywa mimi nilifuta kunywa juic za dukani wala soda situmii.ila natengeneza juice homhii nayo ni kweli
Ilo nalo swaliiiiKwa kwenye glass unakunywaje?
Mwanamke mzima midomo inapwita kisa biashara za watu. Toa maoni Kama bipi kiwanda kifungweJamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)
![]()
sawaMwanamke mzima midomo inapwita kisa biashara za watu. Toa maoni Kama bipi kiwanda kifungwe
poaUmelipwa being gani kuja kuharibu biashara za watu ? Kwanini usitumie glasi. Njaa yako isikufanye uharibu biashara za watu. Vinginevyo fungua kiwanda chako.
Ww umelipwa being gan kuja kutetea ujinga hapa?.Umelipwa being gani kuja kuharibu biashara za watu ? Kwanini usitumie glasi. Njaa yako isikufanye uharibu biashara za watu. Vinginevyo fungua kiwanda chako.
Nikweli kabisa mwanzo zilikua kwenye chupa nzuri na zilikua nzito na tamu zaidi ya zilivyo sasa.Sivipendagi kwanza vinachacha mapema, mara ya kwanza walipoanza kutengeneza vilikuwa na ubora lkn siku hizi mmmh
Jamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)
![]()
Naona Azam wamewakomoa wale wanaokunywa vinywaji funda moja anameza robo Tatu na robo inarudi chupaniJamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)
![]()
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Jamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)
![]()
labda waweke chupa za aina mbili zenye ujazo sawa ila midomo tofautiTaabu yote ya nini? Si waiboreshe tu.