AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

AZAM hamnitendei haki kwa hizi chupa za juice

Da!Tumefika mahali tunaanza kudai vitu vidogo kama hivi!
 
Jamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)

cedf184fed76fd44fc6c7538d3871661.jpg
Kwani bilauli huwa unatumiaje kiongozi?
 
Sivipendagi kwanza vinachacha mapema, mara ya kwanza walipoanza kutengeneza vilikuwa na ubora lkn siku hizi mmmh
Hujui kuchacha kwa Juisi mapema Inaonyesha ni Halisia hakuna Kemikali Nyingi?
 
Kweli kabisa yani nikivionaga naanza kuwaza .mdomo wa nguruwe
 
Jamani Bakhresa na uongozi mzima wa Azam....hizi chupa zenu za plastic za juice ya embe zina mdomo mkubwa sana,wengine tuna vidomo vidogo basi tukinywa vile vichupa vinafunika hadi pua....ukikashusha vijuice vimebaki hadi kwenye pua kama mtoto mdogo....
Em angalieni upya bottling yenu sijui ndo packaging(correct me if am wrong)

cedf184fed76fd44fc6c7538d3871661.jpg
Njoo pm nikufunze jinsi inavyotakiwa kunywa
 
Back
Top Bottom