Azam FC vs FAR Rabat

Azam FC vs FAR Rabat

Sijachemsha wala nini, ni ukweli ulio uchi kabisa azam wasipofanya mabadiliko kipindi cha pili safari yao itaishia hatua hii.
Tatizo lenu mashabiki wa Yanga na Simba kila m-moja ni kocha. Wewe ni shabiki tu huna budi ushangilie maswala ya ufundi mwachie Hall
 
Kipindi cha pili azam wamebadilika kweli kweli,wanapeleka mashambulizi ya nguvu kwenye lango la as far,dk ni 20 kipindi cha pili.
 
Tatizo lenu mashabiki wa Yanga na Simba kila m-moja ni kocha. Wewe ni shabiki tu huna budi ushangilie maswala ya ufundi mwachie Hall
Haya kaka naona ushindi unanukia.
 
Simba walikuwa na uwezo wa kulikwepa LIBOLO kama wangekubali kushindwa katika mechi ya kwanza kabisa,sasa wao wakamshindilia mtu wakati walikuwa wameshaonywa kabisa kwamba kama wakirarua mtu wanakwenda kukutana na LIBOLO!MAANA YAKE NI KWAMBA WALIYATAKA AO ENYEWE.
Mkuu Simba alitolewa raundi ya awali kabisa, kama alitaka kukwepa hilo litimu labda angeshika nafasi ya tatu kama Yanga au nafasi ya nne kama anayoshikilia kwenye msimamo wa ligi msimu huu.
 
Aliye kuambia kuwa Azam haina mashabiki wa kudumu kakuongopea. Wenye mitazamo ya mbali na sio wahafidhina tumesha vikimbia hivyo vitimu vyenu uchwara (Yanga na Simba) ila majibu ya maswali yako ngoja miaka mitano (5) ipite utajua kipi nazungumzia

Mkuu unapingana na ukweli? Siku Simba anakipiga na Azam nani aliwashangilia Azam? Kuna siku Yanga alikuwa Taifa na katimu ka mikoani na Azam alikuwa Chamazi na katimu ka mikoani pia, attendance ya Chamazi ilikuwa watu 9. Niseme nini zaidi? Hata wewe uliyeenda Azam ni Simba, Mnyama akirejea enzi zake utarudi tu. Baada ya 5yrs Azam haitakuwepo, believe me.
 
Wewe labda 'NJEMU' zimezidi kichwani mkuu,hilo nalo ni la kubisha?!,Azam haina mashabiki wanaoweza kulingana na wale wa Yanga ama wa Simba hili liko wazi wala halihitaji ubishi,ila mi naikubali ni timu nzuri ambayo inaonekana imedhamiria kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini,bado hawajakaa vizuri tu kuna vitu wanakosea na hivyo kuwafanya wasiweze kuchukua ubingwa kwa miaka hii takribani mitatu.lakini wako sawa kwa sababu kubwa ni kwamba hawana njaa,kama ambao badhi yake zipo ndani ya Simba na Yanga.

Mi tayari niko ndani ya uwanja na leo nitawashangilia.karibuni sana wote mje tuishangilie.

NJEMU = BHANGI, message sent and delivered.
 
Gaudence mwaikimba anaingia,bado dk 15 mpira kwisha.Azam 0-0 As far.
 
Mkuu unapingana na ukweli? Siku Simba anakipiga na Azam nani aliwashangilia Azam? Kuna siku Yanga alikuwa Taifa na katimu ka mikoani na Azam alikuwa Chamazi na katimu ka mikoani pia, attendance ya Chamazi ilikuwa watu 9. Niseme nini zaidi? Hata wewe uliyeenda Azam ni Simba, Mnyama akirejea enzi zake utarudi tu. Baada ya 5yrs Azam haitakuwepo, believe me.

mkuu leo niko ontop of somebody women,post yako imenifanya nipiiiiiiiiiiiiz fasta ili nirudi jukwani fasta
 
Back
Top Bottom