Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Tupo pamoja mkuu.Ahsanteni sana wote mlioponda na mliotuunga mkono kwani azam ni timu pekee iliyosalia kipande hiki cha afrika mashariki..
forza azam fc
Tupo pamoja mkuu.Ahsanteni sana wote mlioponda na mliotuunga mkono kwani azam ni timu pekee iliyosalia kipande hiki cha afrika mashariki..
forza azam fc
ni ngumu sana kufuta unazi wa mtu kabisa hasa yanga na simba ndo maana hamna maendeleo zaidi ya umbea..
Tunajua Azam timu B ya Simba, maumivu ya LIBOLO mnaugulia pamoja.
sio kweli ila azam imetokea ubavuni mwa simba
Tupo pamoja mkuu.
Mkuu, kumbe unazungumzia ligi ya Bara? Unajua Liverpool na Chelsea zilichukua kombe la UEFA zikiwa kwenye position gani ktk ligi yao? Wanaojua soka watakucheka!Simba mnajifariji ligi kuu mnashika nafasi ipi?
Ukiwauliza makocha wa timu zinazokuja bongo kutoka kaskazini au magharibi ya Afrika kuwa wanazijuaje soka au timu za Tanzania, wengi huwa wanasema wanaijua Simba tu
Makocha toka Msumbiji na Angola wanafahamu Simba ni Kenge katika msafara wa Mamba.
Mkuu, kumbe unazungumzia ligi ya Bara? Unajua Liverpool na Chelsea zilichukua kombe la UEFA zikiwa kwenye position gani ktk ligi yao? Wanaojua soka watakucheka!
Kama walichukua ubingwa mbona nyie mlikubali kuchezea LIBOLO kwenu na kwao? Au mliogopa CHIPUMBU?
Hiyo Libolo tangu uanze kuitaja, ni zaidi ya mara 15 leo tu. Inaelekea huwa unaserukambwa kisawasawaKama walichukua ubingwa mbona nyie mlikubali kuchezea LIBOLO kwenu na kwao? Au mliogopa CHIPUMBU?
Hiyo Libolo tangu uanze kuitaja, ni zaidi ya mara 15 leo tu. Inaelekea huwa unaserukambwa kisawasawa
Soka letu ni la kuburudishana kama hivi wewe ulichezea LIBOLO shukuru Mungu maana mngekutana na CHIPUMBU ya Msumbiji mngelia zaidi.
Libolo iliifunga Simba Goli 4 - 0 tu! According to logic, kwa kuwa Simba (mabingwa) waliifunga Yanga 5 - 0, basi Libolo kama ingecheza na Yanga wangeifunga (20 - 0).
Ukiwauliza makocha wa timu zinazokuja bongo kutoka kaskazini au magharibi ya Afrika kuwa wanazijuaje soka au timu za Tanzania, wengi huwa wanasema wanaijua Simba tu
Mkuu, kumbe unazungumzia ligi ya Bara? Unajua Liverpool na Chelsea zilichukua kombe la UEFA zikiwa kwenye position gani ktk ligi yao? Wanaojua soka watakucheka!
we jamaa unabishana hadi na ukweli, simba kimataifa ipo level nyingine na azam au yanga. Simba ,tp mazembe, libolo, al alhaly , zamalek level moja