Azam FC vs FAR Rabat

Azam FC vs FAR Rabat

ndetichia hebu toa updates za game...
we ndo mwenye shughuli yakhe
 
Ngendembwa wa Kibiti Rufiji anaitakia Azam ushindi wa goli 3 bila ktk kipindi cha pili
 
Libolo 4 Simba 0
Simba 5 Yanga 0
Raja Casablanca 6 Yanga 0

Nani anapaswa aone aibu hapo?

Magoli watu wanfungwa hadi 8 kama wakina Arsenal,lakini mbaya ni hii ya kufikia hatua ya kukubali kuwekewa LIBOLO ambayo mbaya nyumbani kwako mbele ya familia yako ikishuhudia,lakini pi nyumbani kwake,mbele ya familia yake.
 
Kidogo azam kama wanaamka vile, komaeni vijana.
 
Magoli watu wanfungwa hadi 8 kama wakina Arsenal,...
attachment.php
 
Libolo 4 Simba 0
Simba 5 Yanga 0
Raja Casablanca 6 Yanga 0

Nani anapaswa aone aibu hapo?

Simba walikuwa na uwezo wa kulikwepa LIBOLO kama wangekubali kushindwa katika mechi ya kwanza kabisa,sasa wao wakamshindilia mtu wakati walikuwa wameshaonywa kabisa kwamba kama wakirarua mtu wanakwenda kukutana na LIBOLO!MAANA YAKE NI KWAMBA WALIYATAKA AO ENYEWE.
 
mkuu unamaanisha walikuwa wanataka kutest libolo!!
 
Haiwasaidii hata kidogo,kwa sababu si simba wala yanga ambey yuko katika mashindano yoyote ya kimataifa bali ni AZAM pekee,wakati mwingine tuwe tunakubali.

Mimi hata game za premier siingii kuwaona kulwa na doto....
 
Back
Top Bottom